Nchi 3 (Kenya, Tanzania na Uganda) zinadaiwa zaidi ya Tsh. Trilioni 339 kwenye Deni la Taifa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1707559194319.png

Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu za Kenya, Uganda na Tanzania kuhusu hali ya Madeni ya Taifa kwa Nchi hizo, inaonesha madeni kwa pamoja yamefikia takriban Tsh. Trilioni 339.93. Kenya inaongoza ikiwa na deni la Tsh. Trilioni 176.81 huku utawala wa Rais William Ruto ukitajwa kuchangia deni la Tsh. Trilioni 37.9 ndani ya Miezi 15 tu.

Takwimu hizo zinaonesha kwamba katika kila Tsh. 158.31 iliyopo kwenye Bajeti ya Kenya, Tsh. 110.82 lazima zielekezwe katika ulipaji wa deni hilo. Aidha nchi za Tanzania na Uganda zina jumla ya deni la Tsh. Trilioni 163.12 ambapo deni la Tanzania hadi Desemba 2023 lilifika Tsh. Trilioni 104.59 kiasi ambacho kama ikitakiwa kila Mtanzania alipe kwa fedha taslimu, inamaana kuwa Kila Mtanzania anadaiwa Tsh. 1,694,789.

Kwa upande wa Uganda Deni lao la Taifa limefika Tsh. Trilioni 58.53.

==========

View: https://youtu.be/nugUCTWHgec

Kenya's public debt has hit an alarming high of Sh11 trillion. Out of this, President William Ruto's government has contributed Sh2.4 trillion in just 15 months. And now, 7 out of Kenya's 10 shillings budgeted has to go towards debt repayment. How did we get here? How do we get out of this debt hole?

By the end of this month, Uganda will owe lenders (local and foreign) a whopping Shs88.9 trillion, which is almost twice the Shs52.7 trillion budget announced for Financial Year2023/2024. Of the total public debt, Shs47.9 trillion is owed to external lenders, while Shs33 trillion was contracted locally in Uganda.

Although loan repayment is spread over several years, fears about debt sustainability (the ability to meet payment obligations) troubled economy watchers as the government showed little loss of appetite for borrowing this financial year.

The government is, however, confident it is still within manageable limits with the country’s debt to GDP ratio standing at 48.6 percent, a figure slightly below the policy target of 50 percent of GDP, the minister said.

Uganda’s public debt to GDP ratio is also within the 52.4 percent threshold recommended by the current Charter for Fiscal Responsibility (CFR) which will run up to financial year 2025/26.

Under Section 4(3) of the Public Finance Management Act, the minister for finance is required to prepare a CFR, which sets out government’s commitment to managing the country’s fiscal policy with clear and measurable objectives, and in line with specific fiscal principles, amongst which is “prudent and sustainable levels of public debt”.

1707559128687.png
 
Sema kuongoza nchi sio kazi ndogo aisee,
Ruto alikuwa anamponda Uhuru kwa kukopa ila sasa na yeye anakopa kwa speed 😂😂😂
 
Back
Top Bottom