FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,069
- 40,732
Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.
Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?
Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?
Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?
Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?
Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.