tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. McLaren

    PostGE2025 Maseneta wawili wa Marekani wataka Marekani kuangalia upya mahusiano yake na Tanzania baada ya Maandamano ya Oktoba

    Wakuu Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa? Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Chanxo; Risch, Shaheen...
  2. Analogia Malenga

    Watanzania walioko ughaibuni waandamana kutaka haki Tanzania

  3. President of China

    China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  4. T

    Chakwera si mtu sahihi kuja Tanzania

    Tanzania hatuhitaji symbolic envoy au mgeni wa kutuliza hali. Tunahitaji mtu mwenye meno, mwenye rekodi ya kushughulikia migogoro mikubwa, na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu mbele ya serikali yoyote. Chakwera ni kiongozi soft spoken, wa diplomasia ya kawaida, na hana uzito unaohitajika...
  5. Mto wa mbu

    PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

    Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania. Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi. Ikumbukwe ya...
  6. President of China

    Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  7. President of China

    CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  8. DodomaTZ

    PostGE2025 Taswira ya Siasa Tanzania chini ya kivuli cha matukio yasiyo na Uwajibikaji

    Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
  9. Carlos The Jackal

    Bashungwa Umewaumiza Wa Tanzania , Bashe Umeibagaza Nchi sana, Jiandaeni Dec 9 na pengine Isifike hiyo Tarehe

    Hili Halina cha Saliatume , Wala Cha MARIDHIANO. Yoyote alohusika Kuwaua Watanzania Atafikiwa tu !!. Uzuri sisi tumeshaziea Misiba na Maumivu , sisi ni watoto wa Mafukara, Hapa Duniani hatuna Cha kupoteza Sasa basi Jiandaeni !!.
  10. M

    Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

    Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuli Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana...
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 BBC: How Tanzania police crushed election protests with lethal force

    A crowd runs in panic along a dusty street. Shots ring out. A woman wearing a purple jacket carrying a stick falls to the ground. Another woman can be heard pleading, "Mama, mama, stand," as she tries to lift her. Blood is spreading around her stomach as another stain appears on her back. This...
  12. President of China

    Je, wajua CCT (Christian Council of Tanzania) ilianzishwa 1934 wakati TEC (Tanzania Episcopal Conference) ilianzishwa 1969?

    Tanzania ina historia ndefu ya ushirikiano wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo kupitia mashirika yenye misingi ya kijumuiya na kidini. Mbali na mchango wa makanisa binafsi katika jamii, kuwepo kwa mashirika kama Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC)...
  13. Q

    PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. - Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
  14. Pakome

    Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  15. L

    Mwanazuoni wa historia Tanzania apongeza mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka 5 wa China

    Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030). Pamoja na mambo mengine mpango huo una malengo manne makubwa, ambayo ni kuhimiza ongezeko la uchumi na...
  16. S

    Hivi kwanini mpaka leo hatutumii body bags kuhifadhia maiti Tanzania!

    Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu, Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
  17. Fbn

    Kuikomboa Tanzania inahitaji msaada wa nchi nyingine kiuvamizi kama Uganda, la sivyo tutaishi maisha ya kumwaga damu

    Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka. Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
  18. JF Summary

    Tanzania: Police arrest a US Army Soldier allegedly found with hand grenades

    Tarime, Mara - November 17, 2025 The Police Force in the Tarime–Rorya region has said it has arrested Charles Onkuri Ongeta (30), a dual US and Kenyan citizen and a soldier in the US Army with the rank of Sergeant, in possession of four hand grenades (CS M68 type). According to the Police...
  19. canular

    Nguara (Ngualla) Rare Earth Project inapatikana karibu na Kijiji cha Ngwala, umbali wa takriban 147 km kutoka mji wa Mbeya, kusini mwa Tanzania,

    Wanganyika wanauliwa kwa haya mengi Ugunduzi na Uchunguzi wa Awali • Mradi wa madini adimu wa Ngualla uligunduliwa na Peak Resources mwezi Agosti 2010. • Uchimbaji wa awali wa visima na tafiti za kubainisha rasilimali ulifanywa na SRK Consulting, SGS, na wataalam wengine wa kijiolojia...
  20. M

    Arusha imegeuka Goma ya Tanzania.

    Wanajeshi wanafanya doria kila mahala Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47 Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo. Goma au Kisangani na Bukavu
Back
Top Bottom