Tanzania ni kubwa kuliko CCM

Tanzania ni kubwa kuliko CCM

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,579
Reaction score
15,463
Hapa ndio nyumbani, hapa ndio nilikozaliwa na kukulia. Hii ndio ardhi pekee najivunia nayo

Samia, CCM na machawa wako wote ni takataka mbele ya Tanzania. Polisi wako wauaji, mafisadi wenu wote na huyo Chande, ni takataka mbele ya Tanzania

Kamwe msije mkadhani hii ardhi inamilikiwa na CCM, nyinyi ni genge la wahuni vilaza tu lililotokea tu kuwa ndani ya Tanzania

Mtakufa, na Tanzania mtaiacha. Nchi iliyowalea ndio leo hii mnaifanyia ubaya, mnadhani nyinyi ndio mnaimiliki mbwa nyie

Haijalishi mtaua kiasi gani, haijalishi mtateka kiasi gani, bado hamuimiliki Tanzania. CCM itakufa, Tanzania itabaki milele. Nyinyi ni matako tu mbele ya Tanzania, ghasia 🚮🚮
tz-06.jpg
 
Back
Top Bottom