Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini??
Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali.
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
katiba
katiba mpya
kisa
kiswahili
kuandamana
maandamano
maandamano ya katiba
makonda
marufuku
mpya
paris
paul makonda
tanzaniatanzania maandamano
ufaransa
Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo.
Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...
Dar es Salaam - 5 July 2026
In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo.
Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State)
Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano!
Kwann Tanzania Miaka 60 tu shida za muungano zimekua nyingi?
Nini Marekani wamefanya ambacho
Tanzania Hatufanyi
Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana.
Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono...
Salama
Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua
Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni ya kizamani lakini mtu binafsi anamilikije kikundi cha watu wenye mafunzo na wakimaliza kazi yao hiyo...
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na...
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 unahitaji viongozi wenye kuendeleza maono, uadilifu na uwezo wa kuendeleza maendeleo ya Taifa ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, hususan katika sekta zifuatazo:
Elimu bora, jumuishi na yenye kuendana na mahitaji ya maendeleo endelevu ya...
Wakuu,
Katika ulimwengu wa siasa na diplomasia za kimataifa, taswira ni kila kitu. Lakini taswira hiyo inagharimu kiasi gani, na ni nani anayelipa ankara hiyo?
Uchunguzi wa kina umebaini mkataba wa kushtusha wa Dola za Marekani milioni 3 (takriban Shilingi bilioni 7.8 za Kitanzania)...
Imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti za kuhifadhi na kulinda madini adimu aina ya Yoderite yanayopatikana katika eneo la Mlima wa Mautia, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, ili kuhakikisha urithi huo wa kipekee wa kijiolojia unabaki salama kwa manufaa ya vizazi vya sasa na...
Muda mrefu kabla ya uchaguzi wa urais wa Tanzania wa Oktoba 2025 kufanyika, vyombo vya habari vya Magharibi vilikuwa tayari vimejenga simulizi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda uchaguzi uliodaiwa kuwa wa udanganyifu, chama kikuu cha upinzani kingezuiwa kushiriki, na maandamano...
Kuna mambo mengine afrika kama kichekesho.
Leo kuna sifa na vyeo wanapewa ila wakitingishwa wanaanza kutoa milio.
Hivi mfano iran unaweza kufananisha nchi gani hapa afrika.
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu.
Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi.
Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD.
Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli.
mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
Lowasaa alisema Elimu Elimu Elimu!
Waziri mmoja amesema ana mamlaka kikatiba, akaulizwa tutajie kifungu , akakimbia kusema watakutana mahakamani.
Ifahamike, Watu waliosoma Sheria kwa hapa Tanzani mpaka sasa ni zaidi ya Laki tano 500,000 lakini mawakili ni 14,000 tu Tangu waanze kusajiliwa...
Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ?
Kagera,
Geita
Mwanza,
Shinyanga,
Simiyu
Mara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.