Je, Tanzania kuna wanaoprint viroba bila kuchonga muhuri?

Je, Tanzania kuna wanaoprint viroba bila kuchonga muhuri?

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
343
Reaction score
88
Nimejaribu kufuatilia wafanya biashara wengi wa kuprint mifuko ya viroba hasa ya kilo 50, ili nifanye nao kazi ila nimepata changamoto ya wengi kukosea kutengeneza muhuri wa kiroba husika, au wengine kushindwa kabisa kukupa ushirikiano kwa sababu ya unachokihitaji, wakati naona ni kitu cha kawaida kabisa. na print hizo ziko sokoni na nyingi tu, sasa nika kaa nikajiuliza hao wengine wanaprintia wapi au ni china? nilichokuwa na hitaji ni kuprint viroba vya mifuko vya kg 50, kwa ajili ya chakula cha kuku . nitaatach na sample zake ili anayeweza kwa ufasaha tuwasiliane tufanye kazi.
au kama hawa wa muhuri wameshindwa basi mwenye printing mashine ya bila muhuri wa kuchonga anaweza nipa utaratibu.

nakaribisha pia ushauri na maoni mchanganyiko
 
Back
Top Bottom