tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wameshatuona matakataka: Tanzania kuwa masikini ni mtu kutaka by Makonda

    Kuwa masikini ni utashi wetu. Eti hela iko nje nje.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji Mkutano wa COP12

    Dodoma. Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaotarajiwa kufanyika Oktoba 6 hadi 9, 2026, Jijini Dar es Salaam, ukilenga kutoa fursa ya kujadili na kuimarisha mikakati ya pamoja ya usimamizi endelevu wa mazingira ya Bahari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jumla ya kilometer za barabara za lami Tanzania ni upi??

  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Eti Kenya wana Nyambizi 150 wakati Tanzania kuna nyambizi 0?

    Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi? Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Tamasha la Miss Tanzania: Kuna wasanii wataenda kuwa Mabilionea

    Baada ya Tamasha hili, Kuna uwezekano mkubwa Muandaaji akafunguliwa kesi ya madai ya Mabilionea kwa kutumia nyimbo za wasanii katika Tamasha la Biashara endapo idhini yao haikupatikana. Nipo pale Tusubiri tuone panapovuja wapi
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mtakatifu PAPA LEO anatembelea nchi za Afrika, ila Tanzania hapo kwenye list yake, hio ni signal Kubwa na nzito

    Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda. Swali la kujiuliza, kwanini...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Paulo Saburi Kilonzo (c. 1890–1979) mtanzania wa Pare (Vu-Asu) kutoka Kilimanjaro Tanzania mwana wa 'Mrungu wa Gu' (Mungu wa vita)

    April 2 2021 Kilonzo, Paulo Saburi (c. 1890–1979) Na Gadi Kilonzo Ilichapishwa kwa Mara ya Kwanza: Machi 29, 2021 Mhubiri painia, mchungaji, na mmishonari katika Afrika Mashariki, Paulo Saburi Kilonzo alitoka katika watu wa Pare (Vu-Asu) wa Milima ya Pare ya safu za milima ya pwani ya...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Taji Liundi amesema bunge la Tanzania lina wabunge vilaza, hawafai?

  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  10. R

    JamiiForums Tanzania FUEL PRICES, RISING HARDSHIP, AND THE TIME FOR BOLD GOVERNMENT ACTION IN TANZANIA.

    Introduction Across Tanzania today, from the bustling trade hubs of Kariakoo to the quiet farming villages of the Southern Highlands a singular, sobering message echoes through homes and markets, the cost of survival is rising. The sharp increase in fuel prices this month is a historic shock...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania IMF: Wakati Tanzania Inatarajia Kufikia GDP ya $ Bilioni 💯 ,DRC Kuipita Ethiopia na Kuwa Nchi ya 5 Kwa Uchumi Mkubwa Africa 2026.

    My Take SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania. https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania

    Anaeamini Chadema ina nguvu, hajui siasa za Tanzania. Chama hivi sasa wanaosikilikana Heche, Mnyika na Amani. Tofauti na zamani Mdee Bulaya Boniface Jackub Salum Mwalim Kigaira
  14. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan Ship Impounded in Tanzania: Human Trafficking Claims

    The Kenya Maritime Authority has confirmed that the Kenyan-flagged fishing vessel M/V Sea Mfalme has been impounded in Tanzania over alleged human trafficking activities The vessel was seized on 30 March 2026 in Kilwa, Tanzania A diplomatic and maritime standoff is unfolding after MV Sea...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT, Dorothy Semu akabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho kumaliza muda wake. Kwa mujibu wa Katiba ya TCD, chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NBC Premier League : Mbio za Top Scorer

    Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bilionea Motsepe na ARC waondolewa kwenye kesi ya Tsh. Bilioni 505.7 ya Mradi wa Graphite wa Tanzania

    Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7) iliyofunguliwa na kampuni ya Marekani, Pula Group. Mahakama hiyo pia ilibainisha kuwa ARC haiwezi kubeba lawama...
Back
Top Bottom