tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NI SHWARI

    Saba Saba leo inahitaji amani si machafuko. Maria Sarungi, Mange Kimambi na genge lao wanajaribu kuwatumia vijana kuleta jeraha katika taifa la.Tanzania. Machafuko kama yale ya Oktoba yalituonyesha madhara mengi mno na basi kutojiunga ni kulinda familia yako na nchi yetu tuipendayo. Uzalendo ni...
  2. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

    Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly. Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kuupiga vita umaskini?

    Katika hili taifa letu kitu ambacho tunapaswa kupambana nacho Kwa nguvu basi ni umaskini wa kutosha ulipo Tanzania ukizunguka maeneo mbalimbali nchini utakuta watu wanaishi katika mazingira duni na yenye kuogofya sana Kuna baadhi ya maeneo watu hushindwa hata kununua nguo. Tukiachana na takwimu...
  4. Fene

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na Kitengo cha Kitaifa cha Kupokea Changamoto za Wananchi

    Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi. Nchi kama Indonesia imefanikiwa kupitia mfumo wa SP4N-LAPOR!, ambapo mwananchi anaweza kuripoti changamoto yoyote na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Tanzania tuna utawala wa matamko, hatuna utawala wa sheria

    Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ufaulu Kidato cha 6 ni 99.9%. CCM na Samia Washaharibu Elimu ya Tanzania. Mlaaniwe hadi Kizimkazi pasiote nyasi

    Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi. Shule hazina Waalimu, hazina Maabara, hazina Madawati hazina Madarasa halafu ufaulu unakuwa 99.9%. Ni sawa na Mtoto ajisahihishie...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa yanayoendelea Nchini Tanzania

    Amani iwe nanyi wakuu: Kama Mtanzania na mwanachama wa CCM, naomba kushauri kwa yanayoendelea nchini kwetu hasa suala la utekaji, ufisadi, na ukandamizaji wa haki za binadamu, Ushauri kwa Vyombo vya ulinzi na usalama: Ninyi mmeapa kuilinda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dhidi ya maadui wa...
  9. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wa TV na Radio nchini Tanzania hawataki kucheza nyimbo za CIVILIAN-COIN au kwa kuwa Hana Pesa za Promotion? Je, nyimbo za mamtoni?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu yetu Tanzania ni wa kumchosha mtoto na mzazi. Ndiyo maana tunapata akili zilizochoka

    Fikiria miaka 7 shule ya msingi.Miaka 6 secondary na mwezi mmoja JKT. Hapa kwenye chuo inategemea ila miaka 3 na kuendelea kulingana na taaluma. Total:7+6+3=miaka 16 yupo shuleni. Nchi zenye maendeleo mtoto mpaka kafika chuo umri ni miaka 18 .Katumia miaka 12 sekondari mpaka msingi. Na hapo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa Watanzania kushangilia msaada wa afya wa USA wa USD 1.3b bila kujua masharti yake yote; Zambia, Ghana, na Zimbabwe wayamekataa!

    Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
  12. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ziara ya Dr.Samia russia,malaki ya watalii wamiminika Tanzania.

    Rais wetu mpendwa amepiga penyewe,pale pale,hongera kwa kabineti ya ushauri ya rais.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  16. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania wadakwa na mabilioni nchini Malawi

    Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo. Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul

    Dar es Salaam - 5 July 2026 In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
  18. Room 28

    JamiiForums Tanzania America wametimiza miaka 250,Kunani Tanzania

    leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo. Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State) Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano! Kwann Tanzania Miaka 60 tu shida za muungano zimekua nyingi? Nini Marekani wamefanya ambacho Tanzania Hatufanyi
  19. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

    Inashangaza!! Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana. Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono...
  20. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa ni kama haina mwenywe au watu wake wanaishi maisha ya miaka 90?

    Salama Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni ya kizamani lakini mtu binafsi anamilikije kikundi cha watu wenye mafunzo na wakimaliza kazi yao hiyo...
Back
Top Bottom