tangazo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  2. K

    JamiiForums Tanzania TANGAZO LA KAZI YA CLEARING AGENT

    Kampuni ya JASMIS INTERNATIONAL LIMITED yenye ofisi zake Mbezi Beach Karibu Na CHEMICOTEX INDUSTRIES inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 14,2023 Kazi : Clearing Agent Idara: Operational Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe...
  3. JamiiForums Tanzania DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu na uelewa wangu wa soka la Bongo, Leo Azam washinde au washindwe kocha atatimuliwa

    Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana kazi. Timu imesajili vyuma hasa lakini kiwango sifuri, asipofukuzwa kocha kesho mtaniambia
  7. JamiiForums Tanzania 📢Tangazo: Nafasi za Kazi (Field Personnel)

    Wanahitajika watu wa nne 4 tu wa Field Personnel. 🔍 Majukumu: Kutekeleza kazi za field kulingana na maelekezo na ratiba iliyowekwa. Kukusanya taarifa muhimu na data katika mazingira yakazi. Kufanya usimamizi wa malipo ya ofisi kwenye eneo la field. Kuripoti mara kwa mara kuhusu maendeleo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini Utumishi

  9. JamiiForums Tanzania Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

    Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

    Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao FaizaFoxy USSR Maghayo instanbul Pascal Mayalla Mshana Jr OKW BOBAN SUNZU FRANCIS DA DON Msanii Mpwayungu Village Bufa Kaka yake shetani UMUGHAKA ChoiceVariable
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ajira: Panel Beater na Spray Painter (2 Post)

    Wanahitajika mafundi wawili kwa ajiri ya unyoshaji na upigaji rangi magari Katika karakana teule ya Action Auto Garage (authorized dealer wa TOYOTA) Dodoma na Morogoro. Kwa mawasiliano Zaidi pitia tangazo lililobandikwa
  12. JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi la watu wa Mauzo

    Hello, Natafuta watu wenye uzoefu wa kazi hizi. -Marketing. -Sales Wakiwa jiji la Mwanza watapata kipaumbele. Tuma cv yako. Only shortlisted candidates will be contacted.
  14. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  15. JamiiForums Tanzania Ile amapiano inayopigwa kwenye hili Tangazo la jezi za Yanga inaitwaje!?

  16. B

    JamiiForums Tanzania Diva The Bawse alipie tangazo la kumpaisha mganga feki

    Aisee kumbe wabongo wana upeo mdogo sana. Yaani hiyo story ya Diva hadi dada wa taifa kaingia mkenge (siamini kama Mange na yeye kaingia mkenge nahisi na yeye yupo kwenye payrol/ kuwatoa watu kwenye ishu ya ulimwengu wa 'Dada Paula'). Ni hivi, Diva kaandaa hiyo script kwa ajili ya kumpromote...
  17. JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  18. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  19. JamiiForums Tanzania Simiyu: Baada ya kulalamika Dampo la Kidinda kwenye makazi ya watu, tangazo latolewa, kifaa cha kuhifadhi taka chawekwa

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoka Simiyu kudai kuwa Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Bariadi wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye jalala ambalo pia limetawaliwa na moshi mwingi kutokanana uchomaji taka unaofanyika kila siku...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…