TANGAZO LA KAZI YA CLEARING AGENT

Kobe123

Member
Jul 4, 2023
82
216
Kampuni ya JASMIS INTERNATIONAL LIMITED yenye ofisi zake Mbezi Beach Karibu Na CHEMICOTEX INDUSTRIES inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 14,2023

Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational

Vigezo Cheti / Diploma ya clearing pamoja na awe amesoma kozi ya CFFPC inayotolewa na chuo Cha Kodi na awe amepata Cheti

Umri miaka 18-40
Dini: Yoyote

Jinsia : Zote (Wenye ulemavu watapewa kipaumbele)
Namna ya kutuma maombi, Tuma CV yako pamoja na copy zako kwenye email: jasmisco@yahoo.com

muda: Kuanzia saa 0800 Hadi 1700
Mawasiliano WHATSAPP TU +255 (0) 769488409
KARIBU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom