tangazo

  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi za Muda TAMESA Aprili, 2024

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245. Majukumu yake makubwa ni kutoa Huduma za Matengenezo ya Magari na Mitambo, Huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya Matengenezo ya Taa za Barabarani, kufanya Matengenezo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Mkandara Lufufu kwenye tangazo la ngumi za Azam Tv.

    Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi. Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa kaingiza sauti kama ya Lufufu akisimulia namna mabondia hao wanavyotafutana msituni. Sasa mimi nilikuwa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Fursa ya Safari ya China kwa Siku 15!

    Je, unatafuta uzoefu wa kipekee wa kusafiri kwenda China kwa siku 15 tu? Karibu katika safari ya kutembelea mazingira ya kuvutia na utamaduni wa kipekee wa China! Jiunge nasi kwenye safari yetu maalum ambapo utapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia nchini China kwa muda wa siku...
  5. Siwuya

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

     Mimi ni kijana wa Umri Miaka 28 Education Level Degree nina uzoefu wa zaidi ya Miaka kwenye maeneo hayo mawili kwenye Graphics Design Kazi nazoweza kufanya -Desiging All Digital Printing Material such as Vipeperush, Roll up Banner, Logo,Product Label, etc. -Sticker(Car)...
  6. w0rM

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mnaosafiri nje ya Tanzania mmewahi kukutana na tangazo letu kama hili huko?

    Habari WanaJF, Leo nimepita pale maeneo ya St. Peters karibu na Mbuyuni Jijini Dar es Salaam nimekutana na bango hili kubwa sana likiwa na maandishi mamubwa “Visit South Africa” inaweza kuwa sio jambo baya ila najiuliza na sisi kwenye nchi za Wenzetu tunafanya kujitangaza hivi? Nawaza...
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutizama hili tangazo?

  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kasulu: Eneo la NYAKITONTO, Kamchape wanahatarisha usalama wa raia na Polisi wapo kimya!

    Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini wananchi wengi waliyapuuza. Kinachotokea sasa wanadhalilisha watu, wanatengeneza chuki dhidi ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi maabara

    Habari! Habari za mchana ndugu zangu, anahitajika mtaalamu was maabara ngazi ya Cheti jinsi Ke, Mshahara maelewano. Call: 0768396747 Ahsanteni.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tukio la Stanslaus Ishengoma kutoa tangazo la kupotea na kumtafuta jirani yake Abdallah Juma limenigusa sana sana!

    Nimemuona ITV kwenye kipindi cha 'YUPO WAPI?' Anasema ni jirani yake huyo ametoweka tangu 28.2.24 bila kujulikana ameelekea wapi. Ameongeza pia kuwa mtafutwa ana tatizo la kifafa na kwamba ni majirani tu hapa mjini. Kwa uzoefu wetu tu tunajua hapo ni watu wa imani mbili tofauti lakini wameishi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  12. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  13. L

    JamiiForums Tanzania VETA wamemtakia Heri ya Kuzaliwa Rais mpaka leo hii tangazo lipo kwenye web yao

    Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu...
  14. Halmashauri ya Jiji DSM

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar, anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi
  15. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

    Ivi seminary na saints uwa zinaajiri kwa vigezo kama ivyo? Shule ya kiislamu inatafuta walimu wa masomo yafuatayo: 1. Advanced Maths & Physics (1 teacher) 2. English & Kiswahili (1 teacher). Sifa: Muislamu Jinsia ya kiume Amehitimu chuo kikuu kwa fani yoyote na awe amepitia Advanced level kwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

    Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
  17. Brightly

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi TAA la Tarehe 01/09/2023

    Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini...
  18. Jugado

    JamiiForums Tanzania Tangazo maalum kutoka bar, 2024 pombe basiiiii!

    Enough is enough.
  19. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Hija mwaka 2024 kwa wakatoliki. Gharama ni Tsh Milioni 7.

    Kama Tangazo linavyo jieleza.. Shime wakatoliki Tujitikeze kwa wingi kama mahujaji .. Tukiwa tume toka kuupiga mwingi kwa kuchangia Mavuno kwa zaidi ya Tsh Bilion 4.. sasa tujipige mifukoni kwa zaidi ya milion 7 kila mmoja Tuka msikilize Baba Mtakatifu. Tukaone masalia matakatifu. Tukaone...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi Mhasibu Msaidizi (1)

    SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla...
Back
Top Bottom