Brightly
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 261
- 353
Habarii wanaJF,
Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali.
Lakini mpaka ninapoandika Uzi hapa hakuna taarifa yeyote kama watu waliishaitwa kwenye usailii au wapo kazini maake hawajawahii kutoa tangazo lolote la kuita watu Kwenye usaili mpaka Sasa na hakuna taarifa yeyote?? tunaomba kufahamu je? Usaili tutaitwa lini au ndio tayari watu walishaitwa kazinii?
Mwisho kwa niaba ya wasaka ajira wezangu kwanza tunamshukuru Sana rais wetu mama samia suluhu Hassan kwa kutoa ajira nyingi kwenye awamu hii ya sita japo wahitimu wapo wengi ukilinganisha na nafasi za kazi zinazotangazwa tunaomba hata hizo nafasi chache za ajira zinazotangazwa ziwe za mkataba au za kudumu zishidanishwee kwa hakii kupitia PSRS, kuachia taasisi zenyewe kuajirii kiukwelii ni ukatiliii mkubwa saana kwa sisi wahitimu wengi tusiokuwa na connection.
Kwa sababu taasisi huaga hazifanyii mchakato wa usaili kwa uwazii japo ambalo Huwa linatia mashaka Sana na kusababisha kuanza kuilaumu serikali yetu na kuichukia bure, sisi sehemu pekee tunayoiaminii ni PSRS hata ukishindwa kwenye usailii unaridhika unaona kabisa siku nikijipanga vizurii nitapata kazii.Naomba kuwasilisha.