balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,554
- 13,266
Hello wana bodi!!
Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani?
Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe tatizo la kutubagaza Walimu kila mahali na kila wakati?
Mbili, lengo hasa la Tangazo hilo ni nini? 'Wanahamasisha' au wanakemea au wanaelimisha au wanafanya nini (dhima ya tangazo)?
Tatu, Hivi Sisi walimu tukitaka kuwachukulia hatua kwa kunajisi 'professional' yetu tutakuwa tunakosea?
Mwisho lakini si kwa ulazima, nadhani muda umefika tutawataka Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kukataa hii 'professional abuse' kwani sisi Walimu ni Wazazi na ieleweke pia Walimu hatukubaliani na hili tangazo.
Mwenyekiti Cwt (W).
Iramba- Singida.