tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga. Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dagaa nyama (uono) kutoka Tanga

    Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000... Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Mkinga, Tanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais ili nisimamie maendeleo ya kiuchumi nchini

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" TANGA- MKINGA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi unaokuwa kwa kasi bila kuharibu...
  6. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba kuunguruma Tanga leo jioni

    TANGA TANGA TANGA PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO MUDA: SAA 10: 00 JIONI
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

    Niwapongeze wagosi kwa kuamua kutetea haki zao. Katika mikitano mingi ya wagombea wananchi wamekuwa na mwitikio chanya huku kilio kikubwa kikiwa kutelekezwa. Majimbo ya Tanga hayana maendeleo pamoja kuichagua CCM, safari hii wanadai wanabadili watawala wapate ladha ya upinzani. Hongereni...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufungua Msikiti Wa Kwamndolwa Uliopo Jijini Tanga

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi Ya Mufti shughuli hiyo muhimu itanyika kesho Jumamosi Oktoba 10, 2020.
  9. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

    Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy Mwalimu ni Iron Lady, anaikamata Tanga peke yake...

    Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo. Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu. Hongera sana THE DRAGON LADY
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania EWURA: Wasambazaji wa bidhaa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuchukua bidhaa kutoka bandari ya Tanga pekee

    EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine. Atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini TZS Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10, au vyote.
  13. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanga tuna jambo letu, Tanga imeamua, Tanga ni ya kijani

    Watanzania, Salaam nyingi kwenu. Ninawapenda. Mimi ni mtanzania ninayetokea mkoa wa Tanga. Leo ninataka kuongea na ninyi kuhusu Tanga. Wapo wasiojua, Ila wapo wanaoujua Ila wameamua kupotosha ukweli. Ni rahisi sana kusikia watu wa Tanga ni wavivu, washirikina, sio wasomi na mengine mengi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy aahidi kumuonesha Mwana FA vichochoro vya Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika kampeni mkoani Tanga Katika kampeni hiyo, Ummy ameahidi kushirikiana na Mwana FA kumuonesha kote kwa...
  15. MGANGA WA KIENYEJI

    JamiiForums Tanzania Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
  16. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea ubunge chama cha ACT Wazalendo

    Majina ya waliopitishwa kugombea ubunge ACT Wazalendo
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kimbunga cha Lissu chaingia Muheza Tanga

    Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga. Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya uraia kwa wananchi wa Tanga. Huku wakimsikiliza kwa makini, na kwa kuyatafakari maneno yake...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Museveni wakubaliana kuufufua mradi wa Bomba la Mafuta

    July 31, 2020 Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki. Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Shehe Shariff Majini kulalamika kaibiwa kura Tanga, je majini yake hayamlindi?

    Habari wadau. Mtia nia maarufu kama shehe sharif majini analalamika uchaguzi wa kura za maoni jimboni kwake haukuwa wa haki.. na ameshindwa kwa mbinu chafu. Swali nalojiuliza. je majini hayana msaada ya kumlinda mtu wao asiibiwe kura? Je, kina sisi tunaopeleka shida zetu kutatuliwa kwa nguvu...
Back
Top Bottom