Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

zakarya

Member
Nov 1, 2015
36
5
Habari,

Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi.
Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya:

- Kupandisha mtaji
- Kutafuta viwanja
- Kutafuta wateja
- Kuajiri wafanyakazi
- Kufanya taratibu zote za serikali.

Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe messeji

Tutazungumza kuhusu mtaji wa kila mmoja kwa MP
 
Back
Top Bottom