tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

    Hii ni baada ya harakati za BAVICHA za kuelimisha umma kufanikiwa, hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi. Natoa wito kwa CHADEMA Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania. Mungu ibariki CHADEMA
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Sonia Magogo aendeleza ziara yake mkoani Tanga, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo katika ujenzi wa chama mkoani Tanga

    HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA. Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo Pia...
  3. Mtamasia

    JamiiForums Tanzania Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni shilingi 6500 Napatikana kwa mawasiliano no 0672844844 NIPE DILI
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

    Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri wafanyakazi - Kufanya taratibu zote za serikali. Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

    WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
  6. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama #hatuwezikurudinyuma.
  7. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa private: Arusha/ Moshi na Tanga mnakaribishwa kupata chakula kwenye hoteli ya Drive in Lodge Msata

    Drive in lodge msata inayopatikana barabara ya Bagamoyo,inakujulisha wewe dereva wa gari ya kukodiwa au gari ndogo uwapo Safari na UNAHITAJI huduma za chakula, vinywaji au malazi, karibu Sana hotelini. Kwa dereva wa coster utapata chakula,maji na kifuta jasho abiria watapokula au kununua...
  9. 2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Kumbe mapenzi yaliyozaliwa Tanga ni fake

    Wanajamvi habarini? Wanandoa kwema?. Muhtasari: nikiwa tineja nilijiwekea mipaka ya makabila ambayo sitao,kila kabila na sababu zake. Wakurya: ukatili Wachaga:kutojua mapenzi sana Wazaramo: wavivu Tanga(makabila yote): sababu ya ushirikina. Jambo la kushangaza hao ndio nikawa nawapata sana hasa...
  10. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Kwa walio Tanga

    Habari zenu wana jamvi, kama kuna mtu yupo maeneo ya Tanga mjini ningependa kuonana naye hata tubadilishane mawili matatu hata kujuana zaidi sisi kama wanajamii wa JamiiForums.
  11. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Tutarejesha safari za treni kati ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ndani ya muda mfupi

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania - TRC Ndg. Masanja Kungu Kadogosa ametembelea kipande cha reli kati ya stesheni za Buiko na Hedaru mkoani Kilimanjaro ambacho kimefunikwa na maji kwa zaidi ya juma moja baada ya mafuriko yaliyosabishwa na mto Pangani kujaa kutokana na mvua zinazonyesha...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Dispatch Clerk II at Tanga Cement PLC

    Position: Dispatch Clerk II Reporting to: Weighbridge Supervisor Location: Tanga Key responsibilities: Responsible for Weighbridge administration ensuring compliance with procedures Principle Accountabilities: Accurate weighing and recording of truck weights Preparation of daily and monthly...
  13. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga amedai wapo madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona lakini hawakuwakataa alimaanisha na Kenya waruhu madreva wetu bila kujali Hali zao kiafya waingie Kenya. Swali; 1. Walipimwa lini? 2. Walipimwa boda wakakaa kusubiri majibu kutoka dar? 3. Walipimwa lini kwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

    Sheikh Mohamed Kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono (Sanitizer) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao. Chanzo : EATV Nakala : FaizaFoxy
  16. Mkazamoyo

    JamiiForums Tanzania Tanga: RAS aagiza Walimu waendelee kuhudhuria kazini licha ya agizo la Serikali kuzuia mikusanyiko

    Wakati serikali ikiwahimiza wananchi wake kupunguza mikusanyiko na safari zisizo za lazima ikiwa ni pamoja na kuzifunga shule zote na vyuo vyote nchi nzima kwa lengo la kupunguza athari za kusambaa kwa Virusi vya CORONA, imebainika hali ni tofauti huko mkoani Tanga kwani katibu Tawala wa mkoa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa. Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14. Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

    IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba. Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Christopher Mariba, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na mwenzake, watuhumiwa kuomba na kupokea rushwa, wasimamishwa kazi

    TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO WA HABARI IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 20, 2020 WATUMISHI WAWILI WA TAKUKURU WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa — TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
Back
Top Bottom