Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,712
Reaction score
287,556
Bavicha Mkoa wa Tangakatika Ujenzi wa chama ( 800 X 640 ).jpg

Hii ni baada ya harakati za BAVICHA za kuelimisha umma kufanikiwa, hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi.

Natoa wito kwa CHADEMA Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania.

Mungu ibariki CHADEMA
 
View attachment 1511283

Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .

Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .

Mungu ibariki Chadema
Chadema sambazeni kadi nchi nzima wananchi wanazihitaji kwa wingi.
 
View attachment 1511283

Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .

Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .

Mungu ibariki Chadema
Hawa vijana waambieni, kazi yao ya kwanza ni kupiga kura. Haina maana yoyote kuwa na kadi halafu usipige kura.
 
mleta mada ukiangalia hapo kuna wapigwa picha au wanachama hai,tanga kuna Act na ccm tu!
 
View attachment 1511283

Hii ni baada ya harakati za Bavicha za kuelimisha umma kufanikiwa , hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi .

Natoa wito kwa Chadema Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania .

Mungu ibariki Chadema
Nimezihesabu hizo kadi zipo 12. Halafu unasema zimegombewa kama njugu.

Kuna maeneo CDM nawashauri hata wasipoteze muda na virasilimali vyao, hawawezi kukubalika abadan ikiwemo Tanga, Lindi, Mtwara na Dodoma. Mpaka nguvu ya soda (Lowassa) 2015 iliyashindwa haya maeneo.
 
Back
Top Bottom