Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
bwawa la nyerere
bwawa la nyerere kujaa
january makamba
jnhpp
maji bwawa la nyerere
mradi bwawa la nyerere
tanesco
ujenzi bwawa la nyerere
umeme tanzania
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba...
Nawasalimu na kazi iendelee..
Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo.
Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema kuwa usafiri wa Treni ya Umeme unaotarajiwa kuanza Nchini utatumia umeme wa shirika hilo.
Amesema hayo alipokuwa akizungumza na Wanahabari Ijumaa ya Desemba 16, 2022, Dar es Salaam ambapo ametoa ufafanuzi huo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza kufanikiwa kupunguza makali ya upungufu wa umeme kutoka wastani wa kati ya Megawati 200 hadi 250 wiki iliyopita hadi wastani wa kati ya Megawati 100 - 150 wiki hii.
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema wameendelea kuchukua hatua...
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.
Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!
Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge?
Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini?
Tuliambiwa Tatizo ni service ya...
Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme.
Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
Mmeshindwa kutupa umeme wa uhakika tunawaangalia tu.
Sasa mmeshindwa kuja na ratiba rasmi ya huo mgao wenu ili hata mtu apangilie ratiba yake ya siku maana shughuli nyingi bila umeme haziendi?
Sasa mnakata umeme saa 2 usiku weekend, mnataka twende wapi muda huu?
Hivi furaha yenu ni kuona...
Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi
Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme .
Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'.
Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive...
ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME
Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
Tamko la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu mchakato wao wa kupunguza changamoto ya uhaba wa umeme, wameelezea hatua waliyofikia hadi leo Novemba 28, 2022:
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema wanafuatilia malalamiko ya wateja wake ya kutofuatwa kwa ratiba ya mgawo wa umeme, wakiwemo wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa nyakati tofauti, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakiulalamikia mwenendo wa...
Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande ameongelea mahitaji ya umeme miaka ijayo ambapo amesema mpaka 2035 angalau megawatt 80,000 zitahitajika akikadiria nchi itakuwa na watu milioni 70-80 kutoka milioni 61 iliyopo sasa ili watoto wanaokua wapate ajira kwenye viwanda na kinyume chake itakuwa...
Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
Hapo juu ni ukurasa maalum wa mitandao ya kijamii wa mtoto wa Malecela ukiwatuhumu Viongozi hasa wahusikao na nishati ya umeme inayoongozwa na Makamba kwa kufanya mambo yasiyo na u-muhimu huku wakiacha Samia akisemwa kuhusu tatizo la mgao wa umeme.
'....unarushaje live mikutano ya mama ili hali...
Hii ni kwa maslahi ya wananchi... Kinachopelekea uzembe na kudorora kwa utoaji wa huduma kwa wananchi ni Kwamba... Wana uhakika wa mshahara bila kujali mauzo...
Ingebidi wawe wanawapata malipo kulingana na wanavyouza wangekuwa na adabu na kujituma.
Kwa mfano TBC wanajua kabisa... Uangalie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.