tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. S

    Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

    Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche. Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani. Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
  2. Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  3. CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

    Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha! Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa. CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika...
  4. Tanesco Mwanza kama kuna Mgao wa Umeme tangazeni, leo ni siku ya 4 mnakata umeme asubuhi mnarudisha jioni

    Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
  5. M

    Hatimaye biashara za Generators na Solar zarejea kwa kasi ya ajabu nchini Tanzania

    Ni baada ya umeme kukata ovyo kila saa, bila mpangilio maalumu nchini, na kupelekea hasara za ovyo kwa Wananchi na kwa Taifa, hususani uharibifu mkubwa wa vyombo vitumiavyo umeme. Pia kuzorota na kudorora kwa shughuli za kiuchumi zitegemeazo umeme na kupelekea kudumaza na kushuka kwa pato la...
  6. Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
  7. B

    TANESCO TANESCO TANESCO KUNANI?

    nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio....... naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali? kuna mgao?????? MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI. ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
  8. S

    TANESCO umeme unasumbua sana hasa leo hapa Dar maeneo mengi umeme tatizo! Chondechonde tunaomba muwe mnatoa taarifa! Kazi hazendi kabisa!

    Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa kutokana na matengenezo! Saizi mnakata shagarabagara, wananchi hawana tatizo na umeme kukatika ila kwa...
  9. Umeme wakatika Dar na Zanzibar, TANESCO yasema utarudi saa 5 asubuhi

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi. Mafundi wanaendelea na jitihada za...
  10. I

    TANESCO: Mchakato wa kuuza umeme nchi jirani unaendelea

    Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya Mwakilishi wa Shirika hilo, Odilo Mutalemwa amesema hayo kwenye Maonesho ya Sita ya viwanda yanayofanyika visiwani Zanzibar...
  11. Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  12. Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

    Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli. Kuna sababu kwa nini JWTZ...
  13. T

    Operator - Mashine ya kusaga

    Natafuta operator wa mashine ya kukoboa mahindi na kusaga unga. Ina uwezo wa kusaga tani kumi kwa siku. Awe na uwezo wa kufanya mauzo kwa kupeleka kwa wateja. Niko Dar es Salaam, Mbagala.
  14. K

    Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

    Mwezi october mwaka huu wa 2021 zilitangazwa nafasi kadhaa za ajira shirika la umeme Tanzania-TANESCO. Juzi hapa waliita watu kadhaa kwa baadhi ya kada. Sasa basi nikamuuliza jamaa yangu ambae kwa nafasi yake pale Tanesco sina shaka nae kabisa. Jmaa akaniambia mchakato umesitishwa kwa baadhi...
  15. Mvua zimerejea kwa kasi, ngoja tuone watakuja na kisingizio gani tena

    Leo ukanda wote wa Pwani mvua kubwa sana inanyesha, pia kanda ya ziwa kwa muda wa wiki nzima mvua imenyesha sana. Sasa ngoja tuone Tanesco na Dawasa watakuja na visingizio gani tena. Maana Tanesco walifikia kusema mvua imegoma kunyesha mwaka huu sababu ya hayati Magufuli alikata miti millioni...
  16. Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa? Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa. Asante.
  17. TAKUKURU wachunguze mkataba tata kati ya Mahindra Tech na TANESCO. Huenda kuna harufu kubwa ya ufisadi

    Kwa taifa masikini kama Tanzania ambalo raia wake maskini wanakamuliwa kodi na tozo za kila aina kuingia mkataba wa bil 60+ ili kukodi software ya gharama ya bil 60+ ili hali wanafunzi hawana madarasa, maji ya uhakika, umeme na hata makazi mazuri ni kukosa busara. Hivi kweli Tanesco wanahitaji...
  18. TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

    TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa...
  19. TANESCO yautaja umeme wa gesi kama 'umeme wa gharama'

    TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya kuzalishia umeme kutoka inapochimbwa inabakisha gharama ya uzalishaji wa umeme kuendelea kuwa juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…