Mwenye dhamana ya TAMISEMI sio Jafo

Kim Jong Un

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
496
258
Wanabodi Muundo wa wizara ya TAMISEMI ulivyo unaanzia kwa Rais mwenyewe kama waziri Mwenye mamlaka ya hii wizara.

Kwamfano mamlaka ya kuteua baadhi ya nafasi Huko halmashauri yapo Chini ya waziri na Rais anateua hizo nafasi kwasababu yeye ndo mwenye dhamana ya wizara.

Hivyo maamuzi yeyote kutoka TAMISEMI yanastahili kutoka kwake Rais.
 
Umesema ukweli, na ndiyo maana inaitwa Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikari za mitaa' OR-TAMISI' chochote katika wizara hii ni cha Rais mwenyewe
 
JIWE has all the characteristics of a FASCIST!!! Ukicheza na mbwa atakufuata mpaka msikitini!!! Kama ataachiwa adhoofishe taasisi ambazo zinawajibu wa kumthibiti [ BUNGE na MAHAKAMA] basi siku moja atakuja kufanya maamuzi ambayo wananchi watashindwa kumuhoji au kumzuia na wao ndio watakaoumia.
 
Wanabodi Muundo wa wizara ya TAMISEMI ulivyo unaanzia kwa Rais mwenyewe kama waziri Mwenye mamlaka ya hii wizara.

Kwamfano mamlaka ya kuteua baadhi ya nafasi Huko halmashauri yapo Chini ya waziri na Rais anateua hizo nafasi kwasababu yeye ndo mwenye dhamana ya wizara.

Hivyo maamuzi yeyote kutoka TAMISEMI yanastahili kutoka kwake Rais.
Kwahiyo unamaanisha tushinikize rais ajiuzulu?
Kuna gazeti liliamrishwa kuomba radhi kwani kuna madudu yalitendeka nafikiri Kibaha, jamaa wale waka andika Madudu yatendeka Ofisi ya Raisi-cha mtema walikiona. Hivyo hata hili wakilishtukia gunia la misumari linaweza likamdondokea Jafo, vinginevyo awe na damu kama ya kijana mpendwa DAB.
 
Back
Top Bottom