Tetesi: TARURA Wanafeli

Abraham Vardy

Member
Oct 11, 2019
5
0
Wakati Mh Rais Magufuli anataka kusogeza huduma kwa wananchi kwa kuwahudumia kwa ukaribu zaidi wilayani Tarura wakala wa barabara vijijini wanapanga kulipa watumishi wake wahamie ofisi za mkoa. Fedha hizo zingetumika kufunga mifumo ya ulipaji kila wilaya. Huu ni ubadhilifu mkubwa wa fedha za serikali na kuzidi kuwakimbia wananchi.
 
Wameona mbali wenzako kwahiyo watakutawa wanalipwa night allowance kwenda kusimamia miradi wilayani ambako wamehama so kila wiki wanakula night zao tano.
 
Wameona mbali wenzako kwahiyo watakutawa wanalipwa night allowance kwenda kusimamia miradi wilayani ambako wamehama so kila wiki wanakula night zao tano.
Hahahahaha kwahiyo upigaji unaendelea kama kawaida Gkado. Hii ni style mpya.
 
Ndo hivyo Mkuu sheria ziko hivyo nje ya kituo cha kazi lazima alipwe mtu posho tofauti na kama upo hapo wilayani huwezi lipwa posho so bora wote warudi mkoani hafu watakuwa wanaenda kwahiyo hapo kuna perdiem na night za kutosha, TARURA panakuwa patamu kama TANROADS.
 
Anayehama ni Mhasibu tu, Wengine Mhasibu na Wahandisi wanabaki Wilayani.
 
Anayehama ni Mhasibu tu, Wengine Mhasibu na Wahandisi wanabaki Wilayani.
Inamaana inashindikana kufunga mifumo ya malipo wilayani. Kwa maana hiyo hata mifumo ya malipo Epicor ingekuwa iko mamlaka za mikoa ili wilayani madokezo tuu yakimbizwe. Kimsingi serikali hii inaamini sana kuwa karibu na wananchi sasa mhasibu akipelekwa mkoani huoni kama kuna mambo yatakuwa yanakwama?!. Ni nini kinachotaka kufanyika kwa kuhamisha hao wahasibu?!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom