Kwa Takwimu hii nikiwa natokea Mkoa wa Mara naikataa na nakata Rufaa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....

1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara

Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?

Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno kwani ndiyo Ukweli ulioko hata Kiuhalisia wake tu....

1. Mara
2. Arusha
3. Iringa
4. Ruvuma
5. Kilimanjaro
6. Tanga
 
Ni sifa?

Sijasema bangi ina shida. Ila ni sifa? Je sisi kama taifa tunafaidika nini? Kwanini isihalalishwe serikali ijipatie kodi kuliko kulimbikizia watu tozo?
 
Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....

1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara

Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?

Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno kwani ndiyo Ukweli ulioko hata Kiuhalisia wake tu....

1. Mara
2. Arusha
3. Iringa
4. Ruvuma
5. Kilimanjaro
6. Tanga
Tanga haina wavuta bangi.
 
bangi arusha inauzwa rejareja kabisa,unakuta duka linauza mahitaji ya kawaida na bangi pia wanauziana hapohapo
 
Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....

1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara

Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?

Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno kwani ndiyo Ukweli ulioko hata Kiuhalisia wake tu....

1. Mara
2. Arusha
3. Iringa
4. Ruvuma
5. Kilimanjaro
6. Tanga
Uwe unaelewa kilichoandikwa, hizo ni takwimu za wavutaji na siyo walimaji.
 
Back
Top Bottom