Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! ๐Ÿ™Œ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga 2 - 0 Bamako ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga 2 - 0 Monastir ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ TP Mazembe 0 - 1 Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Rivers 0 - 2 Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga 0 - 0 Rivers ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga 2 - 0 Marumo ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

06 - Games
06 - Cleansheets ๐Ÿ”’

ยป Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo ๐Ÿ“Œ

NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ US Monastir 2 - 0 Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga 3 - 1 TP Mazembe
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Bamako 1 - 1 Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

NB ; Bonge moja la defender ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
 
... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !!

Yanga 2 - 0 Bamako
Yanga 2 - 0 Monastir
TP Mazembe 0 - 1 Yanga
Rivers 0 - 2 Yanga
Yanga 0 - 0 Rivers
Yanga 2 - 0 Marumo

06 - Games
06 - Cleansheets

ยป Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo

NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!

US Monastir 2 - 0 Yanga
Yanga 3 - 1 TP Mazembe
Bamako 1 - 1 Yanga

NB ; Bonge moja la defender

#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
Itoshe tu kusema

HUNA AKILI.
 
Bacca ni bonge la beki nchni
 
Hivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?
 
Hivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?
Ndiyo alikuwa benchi. Na kati ya kosa kubwa liliyofanywa na kocha wa Yanga siku hiyo ya mechi, lilikuwa ni hili la kumuacha nje Ibrahimu Bacca.

Huyu mchezaji anajituma sana uwanjani. Na amekuwa akiwafichia mabeki wenzake makosa mengi kwa ku clear mipira ya hatari kupitia zile tackling.
 
Kiukweli Bacca ni beki kitasa hasa na hiyo ni hazina ya taifa ,lakini kumlinganisha na Inonga sio sawa, kwa sababu Bacca mabeki anao cheza nao hawana makosa mengi kama mabeki anao cheza nao Inonga.

Mfano mwamnyeto amekuwa akifanya makosa lakini makosa yake hayafikii hata robo ya makosa yanayo fanywa na Onyango.

Ukijaribu kuangalia mechi za Simba hasa kwenye klabu bingwa asilimia 95 ya magoli aliyo fungwa Simba yamesababishwa na Onyango kiufupi Onyango ni kirusi ndani ya simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom