Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 🇺🇾.

Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.

Upi mtazamo wako?

20230621_035010.jpg
 
Ukiwa unamwambia Mpenz wako kua Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone unajua Mpira na wewe, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula Nyama za watu kua huyu ndie straika la Boli Alie Twaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina),Na huyu ndie alieinyima Furaha Afrika pale Kwa Madiba Mwaka 2010,

Sema Mda ndio umemchagua Big Benz ila sio Takwimu.
Upi Mtazamo wako?
View attachment 2665204
Number zina ongea thou Suarez amefunga magoli mengi yasiyo na faida
 
Benzema mzuri ila Suarez habari nyingine.
Suarez anaweza kucheza namba 9,10 na hata 11 na still akakupa output ile ile. Yule jamaa nilimkubali kipindi yupo Liverpool, yule mwamba alikuwa anatisha,tena Liverpool yenyewe ile ya kuungaunga ya Branden Rogers,still jamaa akawa anaibeba timu mabegani.

Speeds,IQ,Skills mbele ya goli Suarez ni mtu hatari sana,halafu mpambanaji.
 
Benzema mzuri ila Suarez habari nyingine.
Suarez anaweza kucheza namba 9,10 na hata 11 na still akakupa output ile ile. Yule jamaa nilimkubali kipindi yupo Liverpool, yule mwamba alikuwa anatisha,tena Liverpool yenyewe ile ya kuungaunga ya Bralenden Rogers,still jamaa akawa anaibeba timu mabegani.

Speeds,IQ,Skills mbele ya goli Suarez ni mtu hatari sana,halafu mpambanaji.
Jamaa anauchungu sana na Team kila aliyokua anachezea jiulize mwamba kashinda kiatu cha ufungaji bora mbele ya Messi na Ronaldo wakiwa Prime kabisaaa.
 
Benzema ni false nine meanwhile suarez ni natural nine.
Mbingu na ardhi unajaribu kuzilinganisha mkuuu.
Kama KB9 angeamua kusimama kama natural nine pasi angemuacha suarez mbali sana.
Simpendi huyo Suarez ila hajawahi kuwa Pure 9, Timu zote Kuanzia Ajax, Liverpool, Barca, Atleti etc ni versatile. Liverpool Tulimuona most of 9 Sturidge anacheza kama 9 ye anatokea Pembeni ama Nyuma ya Striker
 
Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba mwaka 2010 🇺🇾.

Sema muda ndio umemchagua Big Benz ila sio takwimu.

Upi mtazamo wako?

View attachment 2665204
Halafu pia Huwezi Ongelea 9 bora bila kumueka Lewandoski
 
Mimi ni mpenzi wa La Liga, sijaacha kuitazama Madrid ikicheza La Liga na UCL pamoja na Barca.

Wote wakiwa ktk timu zao walipoingia nimeanza kuwatazama. Sio Benzema wala Suarez.

Benzema huenda makali yake tungeyaona endapo Ronaldo asingekuwa mbinafsi, jukumu la kufunga lingekuwa kwake huenda tungeona makali kutoka kwake zaidi.

Ila kwa sasa jinsi hali ilivyo, Suarez ni moto mwingine. Suarez ni killer akiwa ndani ya Box, Suarez ni fighter haswa anapokuwa ktk mazingira ya timu yake kutafuta goli, hakuna beki anayerelax akijua anamkaba Suarez. Hizi sifa zote sio za kutisha kwa Benzema.
 
Back
Top Bottom