takwimu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sijaona sababu za msingi kwanini Serikali haitaki kutoa takwimu za idadi ya wafuasi wa dini

    Hadi leo sijaona kwa nini serikali haitaki kabisa kutoa takwimu za idadi ya watu katika dini mbali mbali, yaani tujue Tanzania kuna Waislamu wangapi, kuna Wakristo wangapi, kuna wapagani wangapi. Na katika Waislamu kuna Suni wangapi, Shia wangapi. Na katika Wakristo, kuna Wakatoliki wangapi...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Watoto 5716 wamelawitiwa nchini Kwenye kipindi cha Mwaka 2016 hadi 2021

    Tatizo la kulawitiwa kwa watoto linalizidi kushika kasi nchini huku idadi ya visa vilivyoripotiwa kwenye kipindi cha mwaka 2016-21 vikiwa ni 5716 huku 87% ya visa hivi vikihusisha watoto wa kiume. Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo- Mwaka 2016, wasichana walikuwa 50 na wavulana...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  4. Tanzaniampyawa

    JamiiForums Tanzania Kutana na takwimu za vifo kwa mwaka 2022 pamoja na siku ya leo

    HEALTH 10,040,329 Communicable disease deaths this year 386,203 Seasonal flu deaths this year 5,878,813 Deaths of children under 5 this year 33,071,878 Abortions this year 239,055 Deaths of mothers during birth this year 44,005,025 HIV/AIDS infected people 1,300,169 Deaths caused by HIV/AIDS...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  7. Labani og

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki: Takwimu zaonesha wachawi wengi ni wanawake zaidi kuliko wanaume

    Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume. Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

    Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima. Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo. Kilichonishangaza na Kunimaliza...
  9. ismaelmkay

    JamiiForums Tanzania SoC02 Takwimu ziwaongoze wananchi katika kujenga uchumi

    Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna mipaka wala haujaeleweka kikamilifu. Bado kuna mambo mengi ambayo hupatikana kwa kushtukiza au yapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  11. Saint Leo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapinduzi ya sekta ya mifugo nchini yanavyoweza kupatikana kupitia chanjo

    UTANGULIZI: Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kujichanganya huku tu tujiandae hata Takwimu zao nazo Kutuchanganya pia

    Kamishina Mkuu wa Sensa Spika Mstaafu Anne Makinda.... "Sensa itamalizika tarehe 31 August, 2022" Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Chuwa.... "Sensa itamalizika tarehe 29 August, 2022" Matangazo ya Media za Tanzania.... "Sensa itamalizika tarehe 30 August, 2022" Mheshimiwa Rais wa Tanzania...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Takwimu za sensa zitaboresha huduma za Afya

    Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

    [ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
  15. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

    Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia takwimu za matokeo kidato cha sita, somo la physics hali ni tete. Shida iko wapi?

    Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve. Bado namkumbuka mwalimu wangu...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  18. hamis77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kwa takwimu hizi, Ki Aziz ni mchezaji mzuri au wa kawaida?

    WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE PROFILE STEPHANE AZIZ KI. ▪️Name - Stephane Ki Aziz ▪️Date of birth - March 6, 1996. ▪️Citizenship - Burkinafaso ▪️Position - Attacking midfielder ▪️Age - Twenty six years old ▪️Height - 1,75 Meter Ki aziz...
  19. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Takwimu za tozo za miamala mbona hatupewi tena kulikoni

    Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu. Mbona kimya tena hatusikii...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu ziangalie vizuri takwimu zetu za uchumi tusije kupata tabu mbele ya safari

    Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi. Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana. Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za uchumi wetu. Hasa takwimu za kilimo, Dunia inanyemelewa na balaa la njaa.
Back
Top Bottom