takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Ofisa feki wa TAKUKURU akamatwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), mkoa wa Ilala Dar es Salaam, inamshikilia Hussein Hassani (43), kwa kosa la kujifanya Ofisa wa Takukuru na kutapeli wananchi. Mbali na kujifanya Ofisa wa Takukuru, Hassani ambaye ni mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, pia alighushi...
  2. Fanfa

    TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Heshima kwenu wana jamiiforums, Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja. Nimeona ni vyema niliseme...
  3. Influenza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK) mbaroni kwa kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50

    Picha: Renatus Muabhi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
  4. pantheraleo

    Kashfa ya Rushwa: David Kafulila alalamikiwa na Wazabuni kwa TAKUKURU

    Wakuu, Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya na Songwe wailalamikia ofisi ya RAS Songwe na moja kwa moja wanamtupia lawama Katibu Tawala Mkoa huo Kafulila kwamba amekuwa akiwaomba Rushwa endapo ukikataa basi kama ulikuwa mzabuni unanyang’anywa tenda. Inadaiwa hivi Karibuni, Serikali walitangaza Zabuni...
  5. Roving Journalist

    Rushwa ya ngono sasa ni uhujumu Uchumi, ukikamatwa hakuna faini, ni kifungo miaka 20

    Habari wakuu, Leo TAKUKURU imefanya Kikao na Wadau wa habari kuhusu kampeni ya kupambana na rushwa ya ngono ijulikanayo kama Vunja Ukimya Kataa Rushwa ya Ngono. Akiongea katika kikao hicho, Mwasheria wa TAKUKURU, Imani Nitume amesema kwamba kifungu Cha 7 cha PCCA kimeainisha majukumu ya...
  6. Freightliner

    TAKUKURU pitieni Mkapa English Medium ya Mbeya imetawala rushwa

    Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili. Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo. Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa...
  7. pantheraleo

    TAKUKURU yawafikisha sita mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, leo Jumatano Novemba 20, imewakamata na kuwafikisha mahakamani wafanyabiashara sita wakiwamo raia wa kigeni kutoka nchini China kujibu mashtaka ya Rushwa na uhujumu uchumi. Kaimu Mkurugenzi wa Uchunguzi)...
  8. Influenza

    Arusha: TAKUKURU yamtia mbaroni muweka hazina wa kikundi aliyedai fedha zimepotea kishirikina

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
  9. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Rushwa Mahakama Kinondoni , TAKUKURU wanyoosha mikono juu

    Mahakama ya Hakimu Wilaya na na hakimu Mkazi kinondoni imekuwa ikitajwa kwa rushwa za hali ya juu huku mbinu zitumiwazo zikiwazidi kete maafisa wa PCCB na TISS. Mahakama hiyo ambayo imeongezewa mahakimu wapya na sasa ina mahakimu 16 imekuwa kinara wa Rushwa Kwa Tanzania ikifuatiwa na...
  10. Roving Journalist

    TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) leo imefanya maongezi ya kimkakati na Wadau mbalimbali wakiwemo Sekta Binafsi, Sekta za Umma, Asasi za Kiraia, Taasisi za Dini, Vyombo vya Habari, Viwanda vya Uchapaji na Uchapishaji, Kampuni za Simu, Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri...
  11. MsemajiUkweli

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa. Misalaba alienda mbali zaidi na kusema, kesi za kijinai hazina muda maalum katika mashitaka na kwa...
Back
Top Bottom