Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,495
- 9,275
Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa.
Baada ya kutoka ndani Kidao hakutaka kuongea chochote na waandishi wa habari.
Hivi karibuni Mkurugenzi wa TAKUKURU Brig. John Mbungo aliweka wazi kuwa wanaendelea kuwahoji watu mbalimbali kuhusu matumizi ya Bilioni 1 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana wa AFCON