takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  2. mwanamwana

    GE2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

    Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
  3. Chipoku

    GE2020 TAKUKURU Ilala haifanyi kazi zaidi ya kutumiwa vibaya na Jerry Silaa

    TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa. Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake. Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na...
  4. J

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ahojiwa TAKUKURU

    Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika leo amehojiwa na Takukuru kuhusiana na swala la makato ya fedha za wabunge wanaowakilisha wananchi kupitia chama hicho. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  5. Mzukulu

    Ama hakika TAKUKURU mmenishangaza kweli kweli na huu unafiki wenu usiovumilika kwa watu makini nchini

    Kuna Taarifa nimezisoma katika Gazeti la Habari Leo Ukurasa wa Tatu na Gazeti la Majira Ukurasa wa Nne zikisema kuwa TAKUKURU sasa ndiyo wamegundua na wanaanza Kulivalia Njuga Suala zima la Rushwa za Ngono Mashuleni na hasa hasa Vyuo Vikuu. Kwa Lugha nyepesi tu yaani hapa TAKUKURU wanataka...
  6. E

    Natoa wito kwa TAKUKURU Tanzania

    Kama watu wa Takukuru mnapitia hum JF. Natoa taarifa kupitia jukwaa hili pendwa. Naomba msiishie kuichunguza Chadema na CCM kuhusiana na rushwa za matumizi mabaya ya fedha kwa Chadema na wagombea wa CCM ambao kila siku mnawafuatilia katika majimbo yetu kwa misaada wanayotupa kama ni rushwa...
  7. E

    Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

    Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji. Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi. Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
  8. VUTA-NKUVUTE

    Funguka Rais na Mwenyekiti wangu, TAKUKURU wachane makabrasha ya 'kashfa ya rushwa' ya Lugola na wenzake?

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Hii ilifuatia agizo lako kwa vyombo vya ulinzi na usalama...
  9. S

    TAKUKURU tunaomba mtupe "feedback" ya kumuhoji Zitto juu ya kashfa Leganga na Mchuchuma aliyoibua

    Nakumbuka kati ya mwaka 2017 au 2018,Zitto aliibua tuhuma kuhusu machimbo ya madini ya chuma ya Leganga na Mchuchuma tuhuma ambazo zilipelekea aitwe TAKUKURU kwa mahojiano, ila tangu ahojiwe hatujawahi kupewa mrejesho. Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto...
  10. J

    Nimewasikiliza wabunge wa CHADEMA waliohojiwa na PCCB, yawezekana Lijualikali ni mwongo wa "Kutupwa"

    Nimwwasikiliza wabunge wote wa Chadema waliohojiwa na vyombo vya habari baada ya kutoka kwenye mahojiano na maofisa wa Takukuru. Kwanza nilimsikiliza Lijualikali aliyedai wabunge wa Chadema wamepanga njama za kuidanganya Takukuru. Nikakaa mkao wa kuwasikiliza wabunge wengine ili nibaini hizo...
  11. J

    Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

    Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama. Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri. Zaidi akasema ana taarifa...
  12. Influenza

    Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  13. Influenza

    GE2020 Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dkt. Christine Ishengoma anachunguzwa na TAKUKURU kwa tuhuma za kuwapa rushwa Wapiga Kura

    Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura huku ikiwahoji watu mbalimbali kutokana na tuhuma hizo. Aidha TAKUKURU imewafikisha mahakamani...
  14. Suley2019

    TAKUKURU kuwahoji Wabunge 69 kuhusu matumizi ya pesa za CHADEMA

    JUNI 10, 2020 TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
  15. J

    Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

    Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo. Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
  16. beth

    Vigogo wawili wa Bohari ya Dawa (MSD) kufikishwa Mahakamani leo

    Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurian Bwanakunu pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki Byekwaso Tabura watafikishwa Mahakama ya Kisutu kujibu mashtaka yanayowakabili. Taarifa iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema wanakabiliwa na mashtaka...
  17. B

    TAKUKURU yamnasa aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa nchini (MSD), Laurean Bwanakunu

    June 2, 2020 Dar -es-Salaam, Tanzania TAKUKURU : TAARIFA KWA UMMA Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Inamshikilia aliyekuwa Bosi Mkuu wa Bohari ya Madawa Nchini (MSD) kisha kutumbuliwa Bw. Laurian Bwanakunu kwa tuhuma za rushwa na kuisababishia Serikali hasara. Pia Kaimu...
  18. E

    Wito kwa TAKUKURU Tanzania

    Niwaombe Takukuru Tanzania! Chunguzeni kikosi cha usalama barabarani kwa RUSHWA!!! Tutaisha! Taarifa za mbinu wanazotumia kikosi hiki kupokea rushwa.... nikwamba madereva wana weka pesa kwenye karatasi inakunjwa kama msokoto wa sigara! Akisimamishwa anadondosha hiyo karatasi. Haya mambo...
  19. Influenza

    TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). “Kwa mujibu wa taarifa tulizo nazo, kuna matumizi mabaya ya fedha za michango ya wanachama, ambayo kwa mujibu wa...
  20. Inside10

    Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na uhusiano kama nani zaidi kati ya Askofu na Mtendaji Kata, Nabii na Sangoma fulani, rubani wa ndege...
Back
Top Bottom