Habari wanajamii,
Msaada mwenye kujua Ofisi za TAKUKURU ama namba ya simu kwa Dar, muhitaji anaishi mbezi ya kimara hivyo kama zipo za karibu na yeye itakuwa vizuri zaidi!
Kwa niaba yake natanguliza shukrani!
Poleni na majukumu wakuu. Tafadhali naomba kujua sehemu ambayo TAKUKURU wilaya ya Kinondoni Ina ofisi zake kwani ningependa kuzitembelea wanisaidie matatizo yangu.
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi
Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
Sitaki kuamini mpaka leo tunavyoongea kura za maoni zimemalizika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatujaona mahabusu mbalimbali zikijaa waliokuwa Wagombea au watia nia ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Hizi ni dalili kuwa TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na rushwa bali ni wapigaji tu na...
Wana jf, nimatumaini yangu jukwaa letu pendwa la jf haliwezi kukoswa watu wa takukuru ambao siku hizi ndio kimbilio na mkombozi kwa watanzania wanyonge.
Takukuru nawaomba muwachunguze TCRA na makampuni ya simu yote.
Hii ni kwasababu kumekuwa na wizi mkubwa kwa wateja wanaotumia mitandao ya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imekamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura za maruhan katika uchaguzi wa ubunge viti maalum mkoani humo.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Rukwa inawashikilia wajumbe 7 akiwemo mtia nia wa ubunge viti maalum Iren Dyamukama wakazi wa kijiji cha Singiwe wilayani Kalambo baada ya kukamatwa wakati wakigawa fedha kiasi cha shilingi milioni nne kwa wajumbe wa UWT wilayani humo...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mara inatarajia kuwahoji wagombea ubunge viti Maalum sita mkoa wa Mara ambao wanadaiwa kuwa ni vinara waliohusika kutoa rushwa katika chaguzi za viti maalum mkoani humo.
Mkuu wa Takukuru Mara, Alex Kuhanda amesema kuwa hadi sasa...
Vyombo vya Usalama vimchunguze huyu kiongozi, amekosa sifa za kuwa kiongozi wa taasisi kubwa hii iliyojijengea uaminifu mkubwa kwa jamii
Tukio la kwanza ni kupokea rushwa toka kwa wagombea wenye fedha wa ngazi ya Ubunge na Udiwani.
Vyombo vya kiuchunguzi mnaweza kwenda kata ya mkongo gulioni...
TAKUKURU NG'ATA...
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa.
=====
Hapo jana...
MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018
7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
Ndugu wana bodi
Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru .
Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
Tarehe 21 Julai, 2020 kulikuwa na mchujo wa watia nia kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Rorya. Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa na kulikuwa na harufu kubwa ya rushwa.
Wengi waliopata alama za juu aidha kuna mbinu iliyotumika na kuwawezesha kupata kura nyingi. Tunaiomba Takukuru...
Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa.
Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja.
Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.