TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
20201220_081221.jpg
 
View attachment 1654873
Tujiulize haya..
1. Bahasha za khaki zimekatazwa kubebwa ?
2. Ukionekana tu na bahasha za khaki, maana yake unanunua matokeo?
 
Inawezekana huyu jamaa anatafuta matokeo kwa namna yoyote ili kuwadanganya utopolo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ
Goal La Mkono
 
Mtasema mengi sana and nothing shall change,kama unaushahidi wa ichi ulichokiandika na unaamini kuwa wewe ni mzalendo,peleka taarifa PCCB faster ili waifanyie kaz but kama unasemea utani jua kwamba maana ya utani naona itakuwa imekupita pembeni.
 
Tujiulize haya..
1. Bahasha za khaki zimekatzwa kubebwa ?
2. Ukionekana tu na bahasha za khaki, maana yake unanunua matokeo?
Mashabiki viazi hasa wale wenye roho za kimaskini wanashida sana na haya maswali uliyojiuliza wala hawawez kuyafikiria muda huu,wengi hawapend mpira bali wanapenda tim na chuki zisizo na maana yoyote ile!
 
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.

View attachment 1654873
Wewe jamaa umechanganyikiwa ama? Kwanini unaendeshwa kwa hisia badala ya kuzungumza kitu chenye uhakika?
Unasema kuwa Engineer Hersi ameshika bahasha za kaki katika moja ya mechi, Sasa hapo kwenye picha kuna mechi ya Yanga dhidi ya timu gani embu tutajie.
Una ushahidi gani kama kilicho humo ndani ni pesa? Je kama uliona kuna pesa humo unaweza kutuambia hizo pesa alipewa wakina na nani?
 
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.

View attachment 1654873
We fala sana, kavunja sheria ipi kubeba nyaraka zake kwenye bahasha? Au posho ya wachezaji? Yaani awamu hii imetengeneza wapumbavu wengi
 
kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi.

Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.

View attachment 1654873
Ndiyo nani huyu?
 
Back
Top Bottom