TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI
Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili.
Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad.
Kamati...
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad.
Kamati...
Kuna jinai kubwa imetendeka.
Kuna uvunjaji mkubwa wa Katiba na Sheria za nchi umetokea. Mhusika lazima abainishwe na achukuliwe hatua kali za kisheria. Mambo yako hivi: CHADEMA wamesema na wanaendelea kusema kuwa hawakuwasilisha Orodha ya Wabunge wa Viti Maalum NEC. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu...
Ni kwanini katika kila 'Vibanda' ambavyo Askari Barabarani (Traffic Police) huwa wanakaa kuna 'Mlundikano' mkubwa sana wa Magazeti na cha Kushangaza karibia yote utakuta yana zile 'Pini' bado hazijatolewa halafu na hata Wao wenyewe huwa hawana muda wa 'Kuyasoma' ila wanapenda tu kuwa nayo humo...
TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika
Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imefanikiwa kuokoa mali na kiasi cha zaidi ya shilingi milioni mia mbili katika kipindi cha robo ya tatu kuanzia mwezi wa Julai mpaka Septemba mwaka 2020 kutokana na kushughulikia malalamiko mbali mbali yaliyofanyiwa...
Je, una taarifa zozote za Rushwa?
Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU.
Wasiliana na wakuu wa mamlaka hiyo kupitia namba zifuatazo;
1.Arusha…………………0738 150 063...
Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU.
Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
MBINU inayoongoza kutumiwa na baadhi ya wahadhiri, kushawishi wanafunzi wa vyuo vikuu watoe rushwa ya ngono ni tishio la kuwapa alama za chini kwenye mitihani, imefahamika.
Mbinu nyingine wanayotumia wahadhiri hao ni kujiunga kundi moja la whatsapp na wanafunzi na wahadhiri; na vitisho...
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa wilayani Hanang mkoa wa Manyara imemuamuru Mzabuni Ayubu Iyaka aliyepewa kazi ya kutengeneza na kupachika milango kwenye jengo la kituo cha Afya cha Hirbadaw, kuondoa milango yote 83 aliyoweka kwenye kituo hicho baada ya kubainika haina Ubora.
Takukuru...
DODOMA: MWALIMU MKUU MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA ILI KUTOA CHETI
Mwakangale Mangongose mwalimu mkuu wa shule ya msingi Karume, kata ya Kibaigwa Wilayani Kongwa anatuhumiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU kwa rushwa ya Tsh 55,000
Mwalimu huyu anatuhumiwa kupokea hela hiyo...
Wakuu amani iwe kwenu!
Leo sina mengi ila nataka niwaombe wajomba zangu wa TAKUKURU kwamba kuna wateja wao Kawe tena wateja wakubwa sana. Leo usiku wateja hao walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba na kila mwenye kitambulisho cha kura alikuwa anakula pesa halali za kitanzania kati ya 30000/= na...
TAKUKURU MKOA WA MTWARA YACHUNGUZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA MALIPO YA KOROSHO ZA MSIMU WA 2018/2019: YAFANIKIWA KUREJESHA SHILINGI MILIONI 600 KUTOKA KWA WATUHUMIWA
Ndugu Waandishi wa Habari,
Nimewaita kwa mara nyingine tena ili kupitia kwenu, tuujulishe umma kazi ya uchunguzi iliyofanywa na...
Vivutio vya watu ni vingi, kama ubwabwa ni rushwa basi na wasanii ni rushwa kwasababu wanashawishi mahudhurio. Basi pigeni vita matumizi ya wasanii kwenye mikutano ya kampeni.
Badala yake wagombea wapige nyimbo zao za kichama kama vile CCM MBELE KWA MBELEEE... CHADEMA CHADEMA PEOPLES POWER.... nk
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya rushwa ili kupata kura.
Wengi tumeandika mitandaoni kuwa huyu Rungwe anatuchukuliaje Watanzania?
Are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.