takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti mia sita (600) za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha Mapinduzi na vya kawaida

    TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
  2. J

    TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  3. Erythrocyte

    Baada ya kuthibitika kutumika kisiasa kuikandamiza CHADEMA ni vema Mkurugenzi wa TAKUKURU akajiuzulu

    Ni wazi TAKUKURU baada ya kushindwa kubaini makosa kwenye michango ya wabunge wa Chadema , kutokana na kudanganywa na Peter Lijuakali, Mbunge aliyeanza vituko Chadema kutokana na chuki ya kukataliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa Chadema Mkoani Morogoro, ikaanza njama zingine nje ya...
  4. CHADEMA

    CHADEMA: Siasa za TAKUKURU zinalenga ‘kuokoteza’ makosa (fishing expedition), Uchunguzi wao hauna nia njema

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KINACHOITWA UCHUNGUZI WA TAKUKURU DHIDI YA CHADEMA Ndugu waandishi wa habari Mnamo tarehe 27 Mei, mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) walitoa kauli kupitia mojawapo ya vyombo vya habari nchini kuwa wanachunguza kile kilichoitwa michango ya...
  5. Analogia Malenga

    Mhariri wa magazeti ya Serikali akamtwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa

  6. Suley2019

    Arusha: TAKUKURU yakanusha kumshikilia na kumhoji Mrisho Gambo

    Zaidi soma; Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ahojiwa na TAKUKURU
  7. The Sheriff

    TAKUKURU yafanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya viongozi na watumishi

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU amefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa baadhi ya viongozi na watumishi wa taasisi hiyo. Mabadiliko hayo yamehusisha watumishi 6 wa TAKUKURU, watano kati yao wakitokea kwatika vituo vya kazi jijini Arusha. ==== Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupapambana na...
  8. Nyendo

    TAKUKURU yamrejeshea mstaafu mamilioni aliyodhulumiwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma imemrejeshea Bi. Frida Nahamani (62) mkazi wa Michese Jijini Dodoma kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) alizodhulumiwa na Bwana Maswe Wambura Mgaya ambaye ni mmiliki wa Taasisi ya SWAHILI TRUST MICROFINANCE ya Jijini...
  9. Mpekuzi Tanzania

    Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

    Mbunge wa Igunga Dalali Kafumu anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kugawa milungula kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa JIMBO ili waweza kumpa kura kwenye mchakato wa uteuzi wa wagombea. Heko kwenu takukuru lakini msiishie kuhoji tunataka kuona wakifikishwa...
  10. Mzukulu

    GE2020 Kama Kampeni tumeshazianza kwanini tunawataka TAKUKURU na CCM wawakamate na wawakate Wanaojipitisha wakati hata Sisi wa juu tunaendelea na Kampeni?

    WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI: Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote nchini vikiwemo na vijiji 25 vya Wilaya ya Ruangwa ambavyo bado havijafikiwa na umeme...
  11. Influenza

    Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  12. Roving Journalist

    TAKUKURU yawashikilia Wafanyakazi 30 wa Bohari ya Madawa (MSD) na Mmoja wa Wizara ya Afya kwa Ubadhilifu wa Mil. 54

    Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba zenye thamani ya zaidi ya Sh. 254 milioni. Mbali na wafanyakazi hao, pia kuna...
  13. chuki

    GE2020 Boniphace Mwita Getere Mikononi mwa TAKUKURU. Ni Mbunge anaemaliza muda wake Bunda Vijijini

    Taarifa iliyofikia Meza ya Habari muda huu Mbunge wa Bunda Vijijini anaemaliza muda wake amekamatwa na TAKUKURU ambao wamemkuta Mbunge huyo amekusanya Wajumbe akiwagawia Fedha Tsh. Elfu 50, kwa kila Mjumbe na akiwa amewachinjia kondoo wawili kama kitoweo. Tukio hilo limetokea Kijiji cha Mugeta...
  14. Mpinzire

    RPC wa Arusha na Mkurugenzi wa Takukuru Arusha wamefanya nini kiasi rais Magufuli katoa onyo mbele ya hadhira?

    Wasalaam..! Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini? Wenye information mtujuze tafadhali
  15. Nyendo

    TAKUKURU yamshikilia mzabuni kwa matumizi ya madirisha yaliyo chini ya kiwango

    Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya hanang' mkoani Manyara inamshikilia Patrick Joackimu Kauky@Gauensi Joackimu Kauki baada ya kubainika kuweka madirisha yaliyo chini ya kiwango katika ujenzi wa Ikulu ndogo unaoendelea wilayani Hanang'. Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa mzabui hyo alipewa zabuni ya...
  16. D

    Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

    Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike! Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu! Salam ziwafikie: Waziri wa Habari na Michezo Takukuru BASATA Swali ni je...
Back
Top Bottom