Uchaguzi 2020 TAKUKURU pigeni marufuku wasanii kwenye kampeni, msiishie kwenye ubwabwa

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Vivutio vya watu ni vingi, kama ubwabwa ni rushwa basi na wasanii ni rushwa kwasababu wanashawishi mahudhurio. Basi pigeni vita matumizi ya wasanii kwenye mikutano ya kampeni.

Badala yake wagombea wapige nyimbo zao za kichama kama vile CCM MBELE KWA MBELEEE... CHADEMA CHADEMA PEOPLES POWER.... nk
 
Kuna "rushwa na takrima!!" Ikitoka kwao ni takrima ikitoka kwa wale ni rushwa!!
TUNAJENGA NCHI YA AMANI NA UPENDO
 
Back
Top Bottom