takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

    Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la . Tuendelee kufuatilia . ==== Takukuru yamwachia ‘bosi’ bandari, “waulizwe CAG” MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  2. Rusumo one

    DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

    Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula najua humu great thinker...
  3. Idugunde

    Takukuru Kilimanjaro yamfikisha mahakani wakili Emanuel Mlaki, je mawakili huomba rushwa?

    TAARIFA: Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, imemfikisha mahakamani, Wakili Emmanuel Mlaki akituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh.300,000.
  4. Analogia Malenga

    Meya Moshi awakabidhi wazabuni wanane kwa TAKUKURU

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamtwa kwa wazabuni wanane wanaodaiwa kula fedha za Halmashauri zaidi ya Sh47 milioni pamoja na viongozi wa vikundi 45 vya asasi za kuweka na kukopa (Vicoba). Viongozi hao wanadaiwa kuwa wameshindwa kurejesha zaidi ya Sh94 milioni...
  5. Travelogue_tz

    Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

    Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
  6. T

    Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan. Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  7. CAGvsSPEAKER

    Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

    Mhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.
  8. EINSTEIN112

    TAKUKURU Songwe yamrejeshea mkopaji nyumba ya TSh165 milioni

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni mali ya Jacob Masebo (62). Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe, Damas Suta amesema, Masebo alikopa Sh15milioni...
  9. Miss Zomboko

    Wanafunzi wa Kunduchi Girls wafanya mgomo kwa zaidi ya siku 2. TAKUKURU yaanza kumchunguza Mmiliki

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri, Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291, Nukushi: 26232332 41101 DODOMA, BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA. Tovuti: www.pccb.go.tz Unapojibu tafadhalitaja: TAARIFA KWA UMMA...
  10. Miss Zomboko

    TAKUKURU kuanza kushughulikia kesi za mimba za utotoni zinazomalizwa kinyemela mitaani

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeagizwa kushughulikia kesi za mimba za utotoni ambazo zimekuwa zikiishia mitaani badala ya kwenda kwenye vyombo vya sheria. Vilevile, imeagizwa kufanya utafiti kuhusu rushwa ya ngono kwa vyuo vikuu vingine na vyuo vya kawaida, kama...
  11. Analogia Malenga

    Takukuru yaburuza kortini watumishi wanne Stamigold

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera, imewafi kisha mahakamani watumishi wanne wa Kampuni ya Stamigold kwa mashitaka ya matumizi mabaya ya ofi si, kujihusisha na vitendo vya rushwa na kuisababishia ofi si hasara ya Sh bilioni 1.1 mwaka 2016/2017. Mkuu wa Takukuru...
  12. Roving Journalist

    Kagera: Dennis Joseph Sebugwao, aliyekuwa Meneja Mkuu wa STAMIGOLD na wenzake watatu, wapandishwa Kizimbani

    ALIYEKUWA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA STAMIGOLD NA WENZAKE WATATU WAPANDISHWA KIZIMBANI-KAGERA TAARIFA KWA UMMA Februari 19, 2021 Ndugu wanahabari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya...
  13. Roving Journalist

    TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  14. Analogia Malenga

    TAKUKURU Simanjiro yamshikilia Mwenyekiti mstaafu wa Kimotorok na mjumbe wake

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, inamshikilia Mwenyekiti mstaafu wa Kijiji cha Kimotorok, Merubo Parimelo na mjumbe mstaafu wa Serikali ya Kijiji hicho Daniel Melau. Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu amesema watuhumiwa hao...
  15. Nyendo

    Mara: TAKUKURU yanusa ufisadi kwenye nyumba za ibada

    TAKUKURU YANUSA UFISADI KATIKA NYUMBA ZA IBADA Ndugu wana habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mara katika kipindi cha miezi mitatu yaani Oktoba hadi Desemba mwaka 2020, ilitekeleza majukumu yake ya kisheria ya kiuchunguzi, uelimishaji umma, udhibiti na uokoaji na...
  16. Analogia Malenga

    Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo. Kamanda wa wa Takukuru...
  17. G Sam

    TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

    Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele. Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni...
  18. I

    TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

    kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi. Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
  19. GENTAMYCINE

    Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili. Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
Back
Top Bottom