tajiri

  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kiwango hiki wewe ni tajiri

    japo hakuna kiwango cha wazi cha kuanisha tajiri lakini kuanzia kiwango hiki Kwa Tanzania, watu wengi hutumia vipimo hivi kumhesabu mtu kama tajiri 👇 1. Kulingana na Kwa gharama za maisha za kawaida: TSh milioni 1–2 → maisha ya kawaida TSh milioni 3–5 → unaishi vizuri TSh milioni 6–10 →...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nichagulieni jina la kiafrika la kitanzania la kitamaduni lililokaa kipesa pesa kitajiri tajiri

    Kuna thread flan nmeisoma hapa kuhusu matajiri haswa Kanda ya ziwa huko, majina yao ni ya kitamaduni tamaduni flani na ya kiafrika sio Wala ya kizungu Embu nichagulieni Moja na Mimi,.. Embu ona majina yao, OTAWA, SAULI, LUGUMI, Kuna yule mwamba wa mwanza bilionea yule..nimemsahau jina ., mzee...
  3. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Mjue omba omba Tajiri kuliko wote Duniani

    Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tafauti pekee ya kimawazo kati ya tajiri na maskini

    Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1 kichwa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gumzo kubwa leo: Uwe masikini au tajiri, hamia Burundi kama hutaki tozo

    Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini manabii wasiombee nchi yetu iwe tajiri?

    Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yako ni tajiri usikubali thamani yako kuwa 10,000, kitenge, na tisheti kila baada ya miaka 5

    Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana. Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mo Dewj na GSM nani tajiri zaidi?

    Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
  11. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Bahati yako hii Tajiri Beach Kilwa masoko

    Shamba linauzwa KILWA MASOKO Shamba ni Heka 14 Lina hati miliki (Title Deed) Bei milion 150 📱0754693556 nipigie simu nikupeleke.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha mbalimbali za Kijana tajiri na maarufu sana barani Afrika Wicknell Chivayo

    Moderator uache Uzi huu uwe huru Tafadhali, mdau weka picha yako
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi anaitumia mbinu Gani kati ya hizi mbili Ili awe Tajiri? ZINGATIA hizi ndo njia mbili kuu za kuwa Tajiri, nje hizo wewe ni kapuku.

    1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

    Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi: 1. Kusahau mapema 2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli. 3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ) 4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao. 5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi tajiri sana msidanganywe na propaganda

    Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini. Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi. Ni sehemu salama sana.
  16. Moha 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta tajiri wa kufanyanae kazi ya bolt/uber, asiwe mbabaifu kwasababu mimi sio mbabaifu

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry Hivyo basi Kama yupo...
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  19. Tech Max

    JamiiForums Tanzania kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli (The richest man in babylon)

    kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145. -> zijue kanuni fedha kiundani -> zijue siri za matajiri
  20. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Habari zenu wakuu. Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu. Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”. Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
Back
Top Bottom