Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,536
- 9,610
Naomba tajiri uitishe kikao cha ukoo mapema sana ili waidhinishe fedha utuletee Mayele na Feitoto kabla dirisha halijafungwa.
Wanatupigia kelele sana huku mtaani. Pia natoa wito kwa mashangazi, mashemeji na dada za Moo msimkwamishe tafadhali.
Wanatupigia kelele sana huku mtaani. Pia natoa wito kwa mashangazi, mashemeji na dada za Moo msimkwamishe tafadhali.