Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi.
Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini
Lakini tafauti kubwa ni
Kichwa cha tajiri: Kwann yule mzee amesogea sana kuliko mm, lazima niongeze miradi nataka kua 1
kichwa...
Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana.
Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum
Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga.
Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja.
Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi:
1. Kusahau mapema
2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli.
3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ)
4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao.
5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine
Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini.
Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi.
Ni sehemu salama sana.
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry
Hivyo basi Kama yupo...
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145.
-> zijue kanuni fedha kiundani
-> zijue siri za matajiri
Habari zenu wakuu.
Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu.
Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”.
Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya.
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani.
Miaka imepita, sijamsikia.
Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani?
RIP...
Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.