taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge laidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa (NIS)

    Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Usalama wa Taifa (NIS). Haji atakula kiapo siku chache zijazo akichukua nafasi ya Philip Kameru ambaye anatarajiwa kustaafu baada ya kuwa madarakani NIS tangu Septemba 2014. Rais...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka

    SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
  3. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Kati ya raia wa kawaida na utawala wa CCM ni kundi gani lina uchungu kwa maslahi ya Taifa?

    Tukirudi nyuma kuna mikataba mingi mibovu serikali ilijikita nayo mwisho wa cku ikaja kuonekana hasara kwa Taifa. Na katika hiyo waliokua wanapiga kelele kupinga mikataba hiyo mibovu kwa minajili italiingiza Taifa kweny hasara ni upinzani baadhi na wananchi wa kawaida kbs, sasa swali langu ni...
  4. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Sharti Mbunge awe amepitia JKT au jeshini na amewahi kutumikia taifa

    Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

    Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake. Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa. January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini Prof. Kabudi jana na nitamuamini kesho kwa uzalendo wake

    Prof. Kabudi mtaalamu wa majadiliano kuwahi kutokea nchini akiongoza timu ya majadiliano kati ya Tanzania na kampuni ya Barrick juu ya mikataba ya madini na upigwaji Tanzania uliofanyiwa. Ikafanywa tathmini kubwa na ya kina na kubaini kuwa kuna ukwepaji wa Kodi wa takribuni trilion 400 za...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa Kawaida: Wapuuzeni Wanaopotosha Mkataba wa Bandari

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida, amesema kupitia ushirikiano ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania katika maeneo ya bandari, utasaidia kuondoa changamoto za gharama na ufanisi wa bandari ya Dar es salaam, unaopelekea wafanyabiashara kupitisha...
  8. John Gregory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

    ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya Taifa na bidhaa za kukumbuka

    Za jumapili wanaJF, Leo naomba nitumie jukwaa hili adhimu kuelezea niliyokuwa nimeyaona kwenye makunbusho yetu ya Taifa nilipotembelea hapi wiki mbili zilizopita. Nimewahi kutembelea pia miaka ya nyuma. Nakiri makumbusho ni sehemu muhimu ya kujifunza Kwa hiyo inabidi kuwepo na vitu vya kutosha...
  11. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Think Tank ya taifa letu ndiyo akina Nape?

    Naombeni kujua kama aina hii ya watu ndiyo tunao wategemea kama taifa kufikiri kuhusiana na kesho yetu. Mtu ambaye ameshindwa kutatua changamoto ndogo ndogo za wananchi katika jimbo lake anawezaje kuwa na solution sahihi kwa taifa? Mtu mwenye viashiria vya unafiki uliotukuka anawezaje...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Rais Samia aitwe Mama wa Taifa

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea. Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kama ishu ni kuongeza ufanisi wa kupitisha tani elfu 58 ni lazima mwarabu awekeze? Sisi kama taifa hatuwezi kuboresha?

    Acha upumbavu. Sisi hatuwezi kuwekeza mitambo na kuwapa utalaamu watanzania?
  16. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini nawasihi kuandaa siku maalum kuliombea taifa.

    Naomba kuwasihi viongozi wote wa dini nchi Tanzania kuandaa siku maalum kuliombea taifa na kuwashtaki kwa Mungu wahusika wote kwenye ubinafsishaji huu utakaolitumbukiza taifa shimoni hadi vizazi vijavyo. Kwa waislam zisomwe albadir na kwa wakristo zigongwe kengele mara3 kuashiria msiba na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mungu vimulike Vyombo vya Usalama wa Taifa Teule la Tanzania

    Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo. Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Dini iwapendeze kuteua siku maalum kwa ajili ya kumlilia Mungu aliponye taifa kwa yanayoendelea

    Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya uchumu wetu,na mikataba mingine mingi yenye agenda za Siri tusiyoijua. Iwapendeze viongozi wetu wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
Back
Top Bottom