Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.

Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.

Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.

Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.

Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...

Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.

Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.

Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.

Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.

Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!

Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.

Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?

Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.

Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.

Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.

Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.

Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.

Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.

Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.

Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake

Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.

Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.

Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.

Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.

Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.

Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.

Shukrani.
 
Kabisa watu tunatabia ya kuhukumu na kuwajumlisha watu pasipo kujua ukweli yale wanayopitia. Popote ulipo kunywa big pepsi nitakuja kulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutojali naomba namba za dada yako tafadhali
 
Vijana kama hao wapo sana ni hovyo ,kama mdada wa watu anataka kusoma eti wanamdanganya na unakuta huyo mwanamke sijui karogwa anamsikiliza jamaa kuliko wazazi wake.

Kijamaa chenyewe kina kitanda cha mbao na kabati limepauka ila mradi tu kumshawishi mdada wa watu.

Kwa nn usimuacha afanye malengo yake? ndoa sio mafanikio bali ni haki yake ,ataolewa tu siku akimaliza masomo na ndoto zake.
 
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.

Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.

Akakataa akasema anataka aanze na biashara, kaz za kuajiriwa ni kujitia umasikini... ni kasema Sawa.

Nikajikusanya nikampa mtaji... akaanza, kwenye mapambano akafanikiwa sana.

Akaanza kununua mali Arusha, Nairobi anauza Moshi na Dar es Salaam.

Mambo yakawa yanaenda, muda ukaenda akahamishia biashara zake Dar moja kwa moja...

Katikati hapo nikawa busy kwenye ku focus na mambo yangu, nikaacha kumfuatilia sana.

Sasa baadae kidogo nikasikia Kuna watu wamekuja nyumbani kwa ajili ya kujitambulisha anataka kuolewa... kipindi hicho nimetoka.

Nikastuka kidogo, nikasema enhee.. ngoja tuone...
Eebhana eeh, Kabla hata sijarud, Dada ashaolewa na Mimba juu.

Muda ukaenda nikarudi, nikatambulishwa shemeji, kama kawaida tukala bia na nyama kidogo mambo yakaenda, nikasema nisiingilie mipango ya watu.

Muda ukaenda 2014 kuelekea 2015, game ikaanza kumuelemea Bwana shemeji, Sista akaanza kutumia balance zake maana jamaa alimnyima kufanya biashara kwamba anataka ahudumie familia yake.... tukasema ok! Ok!

Sasa mambo yao yakaanza kwenda ndivo sivo, biashara walizokuwa nazo zikawa sio tena za kuingiza pesa kama ilivyokuwa zamani, kumbuka wana familia ya kulea hapo, na hiyo wala haikua issue, familia za wafanyabiashara haya ni mambo ya kawaida sana.

Sasa bhana, nakumbuka ni Christmas ya 2017 kuelekea 2018, sista kampigia kaka ake ( yeye ni strict na mkorof zaid kuniliko) kwamba jamaa Kaiba ATM kadi yake na anachota hela anakuja kalewa, kumuliza kamdunda vya kutosha.. kuchek simu jamaa ana mabaa medi kama wote.
Sasa namuliza, familia anatunza?

Anasema hapana, hela anatumia za kwake, yeye anakuja usiku mkali na amelewa chakari, akimuliza anampiga, kumbuka kila kitu analipa Dada.

Bhana bhana, tukamtumia Sista gari aondoke hapo aje nyumbani, maana jamaa angeweza muua kwa vipigo.

Jamaa akadhani utani, kupiga simu nikamwambia kama unaona vipi njoo na wewe uishi hapa, hakuna mtu atakuuliza kitu. Ndoa ikaishia hapo.

Sasa sista kakaa pale, katoboa na siri kwamba ilifika kipindi akataka kwenda kufanya kaz za hoteli.... jamani.. wanawake wanapitia mengi.

Nikamgombeza vya kutosha, nikamaliza nikapoa, tukamtafutia mtaji arudi kwenye biashara zake.

Guess what, 5 years now and she has almost everything most useless men wish for.

Mambo yalikuwa magumu lakini Mungu ni mwema.

Nikiona watu wanaongelea usingle mother, hawajui story kubwa iliyo nyuma yake

Ukweli ni kwamba vijana wengi ni watu wa hovyo sana, tena sana... irresponsible and stupid.

Kuna mtu aliweka uzi humu wa biashara ya kufanya na mtaji wa mil 40, niliona vijana wetu walivo na akili finyu, actually wengi akili hawana kabisa, walking zombies.

Ndoto ndogo, wanataka kustaafu maisha mapema, lakini lawama zote wanapewa Dada zetu.

Wamebaki kuita vijana wengine matajiri, na kuweka price tags kwenye toys za vijana wenzao.. na kusema " tafuta hela" majinga ya hali ya juu.

Dada yangu nikwambie, kama unapambana, una uhakika wa kula na kulala, na una kipato.. you win, sweetheart.. you win.... let the stupid boys alone, you deserve better.

Dada zangu nawaomba msiache ndoto zenu kwasababu ya vijana waliolala na wanaopenda maisha rahisi, keep on fighting on.

Shukrani.
Katika mazingira hayo hukukosea kuvunja hiyo ndoa! Isipokuwa huwa wanawake nao ni kama wanarogwa,nyakati hizi wakiona wamechelewa kuolewa kinachobaki kwao ni bora mme siyo Mme bora,ndiyo maana wanachukuliwa ovyo ovyo!
 
Kiukwel dada yko ana bahati kupata kaka mwenye akili kama we,pia mama yko anabahati katuletea kiumbe chenye faida kwenye jamii kama wewe,zaidi mpenzi wako anabahat kupata mume mwenye akili timamu kama wewe.Mimi nimependa mnavyo mjali dada yenu hongeara.
 
kwa haraka haraka hapo ni kweli inawezekana mwanaume ana makosa yaliyo onekana ila kiukweli inawezekana alishavumilia mengi ila nyie mkatumia uwezo wenu kifamilia mkavunja ndoa!
kwani kiukweli mwanamke akiwa na kipato ndani ya ndoa mwanaume ujidai fala hasa ndiyo mtatoboa pamoja
 
Pesa haiwezi kumpa mkuyenge.
Huyo dada yenu hamuwezi kumgonga ninyi ni lazima akunjwe na wengine.

Anza kwanza kuwapa ushauri kuhusu hilo, huo ukali wenu hautasaidia atakutana na mwingine yatajirudia tu. Mpeni elimu ya mahusiano la sivyo atakua anawatafutia wanaume wakware tu na yeye kuishia kuzalishwa.
 
Back
Top Bottom