Fikirisho suala Tito Magoti: Je, kwanini tulimtoa mzungu Afrika?

Sodabeer

Member
May 17, 2020
61
138
Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Moyo unauma sana nikiwafikiria wafrika wenzetu ambao walipoteza maisha ili mzungu aondoke . Africa tulimuondoa mkoloni lengo siyo kumuondoa mzungu kwakua alikuwa na sura mbaya No. Nadhani babu zetu waliaamini tukimtoa Mzungu akija mwafrika mwezetu anayejua shida zetu atafanya mambo mazuri kwa ajili ya wananchi wake. Baada ya wazungu kuondoka wafrika wenzetu wametugeuka ..hawaambiliki..eti leo wamekuwa na akili kuliko sisi wenzao. Yaani mkoloni ameondoka badala ya nyie viongozi kuunganisha
Leo vijana km Tito Magoti ambao ni tegemeo kwa Taifa wapo jela kwa kesi ambazo ukiziangalie labda zina usiasa ndani yake.

Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Magoti kijana yupo korokoroni...kwa kesi ambayo eti uhujumu uchumi..jamani tuwe na huruma..mm nimeshalala selo siku tatu napajua mule siyo sehemu nzuri kabsa. Tusitumie uchama wetu kuwatesa watu..KENYA KILA SIKU ANAPAMBANA UCHUMI WAKE UWE MKUBWA MARADAFU KWA MGONGO WA TANZANIA.. HAYA ndiyo masuala ambayo system ipambane siyo uccm na uchadema..jamani tunachelewa. Tunaonea watu.

Wewe Kiongozi leo unaona sawa..kesho mwanao au ndugu yako..au wewe utapata shida hizi. Tuujenge umoja wa Kitaifa..tuchapeni kazi..SISI KWA jiografia tuliyopo, maliasili tulinazo na idadi ya watu waliopo tukikaza kidogo tu hakuna Taifa ndani ya Afrika ambalo linaweza fikia tanzania kwa uchumi.
Tena sisi tuna advantage sana..TAIFA letu halina udini..ukabila..kwahyo tukpata kiongozi atakaye weza kutuunganisha tutafika mbali sana,
Kwenye miti hamna wajenzi.

Hatukumtoa Mkoloni ili aje mwafrika mwenzetu ajenge miundombinu..km Miundombinu basi tungemwacha atawal mpka 2010, then aondoke.

Kiongozi una dhamana ya kuwa fair kwa wnanchi wako siyo kuwaonea kwa misingi ya siasa..Yani vijana km wakina magoti wanasumbuliwa wakati ndiyo wanajenga future kwa ajili ya leo na kesho yao.

Hadi machozi yananitoka, Sisi wafrika twende wapi..Ukienda china ngozi inabaguliwa, the same to India, doha, Uk, Canada, USA,
Ukija Afrika ambapo we call it home viongozi ni wababe kuliko hata muumba..ukiwakosoa tu jela kwa kesi ya uhujumu uchumi.

Hivi nyie viongozi hasa vijana tumesoma wote, tumekaa mtaani wote..tumepigika na maisha wote..leo mmepata wenzetu mnatuona sisi mafukara hatuna akili. Tumieni neema ya Mungu aliyowapa kufanya kitu kwa Taifa lenu.

Sawa leo mnamsifia bwana Mkubwa huyu..kesho ataondoka mtaanza kumponda na kumsifia aliyepo. Tabia gani hizi.

Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Am proud with my country Tanzania but am not proud of you (leaders).

Karma is the Bitch.
 
Msalimie sana huyo ndugu, mwambie marekani wameua mtu mweusi na balozi wake hapa Tz hajatoa taarifa wala karipio kwa waliohusika.
 
Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Moyo unauma sana nikiwafikiria wafrika wenzetu ambao walipoteza maisha ili mzungu aondoke . Africa tulimuondoa mkoloni lengo siyo kumuondoa mzungu kwakua alikuwa na sura mbaya No. Nadhani babu zetu waliaamini tukimtoa Mzungu akija mwafrika mwezetu anayejua shida zetu atafanya mambo mazuri kwa ajili ya wananchi wake. Baada ya wazungu kuondoka wafrika wenzetu wametugeuka ..hawaambiliki..eti leo wamekuwa na akili kuliko sisi wenzao. Yaani mkoloni ameondoka badala ya nyie viongozi kuunganisha
Leo vijana km Tito Magoti ambao ni tegemeo kwa Taifa wapo jela kwa kesi ambazo ukiziangalie labda zina usiasa ndani yake.

Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Magoti kijana yupo korokoroni...kwa kesi ambayo eti uhujumu uchumi..jamani tuwe na huruma..mm nimeshalala selo siku tatu napajua mule siyo sehemu nzuri kabsa. Tusitumie uchama wetu kuwatesa watu..KENYA KILA SIKU ANAPAMBANA UCHUMI WAKE UWE MKUBWA MARADAFU KWA MGONGO WA TANZANIA.. HAYA ndiyo masuala ambayo system ipambane siyo uccm na uchadema..jamani tunachelewa. Tunaonea watu..
Wewe Kiongozi leo unaona sawa..kesho mwanao au ndugu yako..au wewe utapata shida hizi. Tuujenge umoja wa Kitaifa..tuchapeni kazi..SISI KWA jiografia tuliyopo, maliasili tulinazo na idadi ya watu waliopo tukikaza kidogo tu hakuna Taifa ndani ya Afrika ambalo linaweza fikia tanzania kwa uchumi.
Tena sisi tuna advantage sana..TAIFA letu halina udini..ukabila..kwahyo tukpata kiongozi atakaye weza kutuunganisha tutafika mbali sana,
Kwenye miti hamna wajenzi.

Hatukumtoa Mkoloni ili aje mwafrika mwenzetu ajenge miundombinu..km Miundombinu basi tungemwacha atawal mpka 2010, then aondoke..
Kiongozi una dhamana ya kuwa fair kwa wnanchi wako siyo kuwaonea kwa misingi ya siasa..Yani vijana km wakina magoti wanasumbuliwa wakati ndiyo wanajenga future kwa ajili ya leo na kesho yao.
Hadi machozi yananitoka, Sisi wafrika twende wapi..Ukienda china ngozi inabaguliwa, the same to India, doha, Uk, Canada, USA,
Ukija Afrika ambapo we call it home viongozi ni wababe kuliko hata muumba..ukiwakosoa tu jela kwa kesi ya uhujumu uchumi..
Hivi nyie viongozi hasa vijana tumesoma wote, tumekaa mtaani wote..tumepigika na maisha wote..leo mmepata wenzetu mnatuona sisi mafukara hatuna akili. Tumieni neema ya Mungu aliyowapa kufanya kitu kwa Taifa lenu. Sawa leo mnamsifia bwana Mkubwa huyu..kesho ataondoka mtaanza kumponda na kumsifia aliyepo. Tabia gani hizi.

Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..

Am proud with my country Tanzania but am not proud of you (leaders).

Karma is the Bitch.
Mbona kuna masheikh huu mwaka wa saba hamkusema lolote au Tito ndo mtu wengine sio
 
Mbona kuna masheikh huu mwaka wa saba hamkusema lolote au Tito ndo mtu wengine sio
Yeye amemsemea Titto, wewe wasemee hao mashehe. Siyo lazima kila mtu ajue kuhusu hao mashehe, wengine hata hatujui unaongelea mashehe wapi?
 
CCM imechukua hatamu!
1590213780084.jpg
 
Hapo Tatizo nimagu kuna watu wanamdanganya magu..
Hila Ngozi nyeusi ni hatari tupu kama Roho zao.
 
Na hata huyo Magoti hukuwekwa kwa kuwa ni mwanasheria kawekwa kwa kuwa ni muhujumu uchumi kwa hiyo uraiani hatumtaki mtu anayehujumu uchumi wa taifa kwa kujinufaisha yeye peke yake na familia yake. Muache asote huko korokoroni
 
Back
Top Bottom