Naandika kwa masikitiko makubwa, ni masikitiko makubwa sana, mtoto anarudi nyumbani kutoka shule amekariri nyimbo zote za kizazi kipya na hajui kabisa kama kuna wimbo wa taifa inasikitisha sana, ukienda kwenye mahafali ya shule za msingi watoto wanawekewa nyimbo za sasa ambazo nyingi zimetungwa...