The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii.
Kumekuwa na taarifa za vitendo vya udanganyifu katika Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo mijini, wizi...
Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa Rais wa CAF Bwana Ahmad Ahmad.
Hivyo kwa hili Tanzania (hasa TFF) inatakiwa kuwa makini nae sana huyu...
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume cha sheria kwa kuwa Rais kakaa kimya.
Pia kuna uwezekano baadhi ya viongozi wenye kashfa wakatumia...
Wakuu wakati Taifa letu likiwa tulivu kabisa baada ya wananchi kuombwa wawe na mshikamano , basi kule BAWACHA nako mambo yanazidi kusogea kimya kimya .
Mh Suzan Kiwanga mbunge wa zamani wa Mlimba aliyedhulumiwa hata kutetea tena ubunge wake kwa sababu ambazo hata Tume ya Uchaguzi haizifahamu...
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli
"Kabla ya kuwapongeza...
Anaandika Paul Makonda katika mitandao ya kijamii
Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbeya, Majungu na Uongo. Na hata kama hakuna habari mbaya bado tunalazimisha tu ziwepo. Unaambiwa kabisa siyo kweli we bado unabisha tu ulazimishe ni kweli. Ona sasa ukitumia akili kidogo tu utagundua hata...
Kuendelea kushupaza shingo kuwa hakuna makosa yaliyofanyika juu ya uvunjifu wa haki za binadamu hapa nchini kwetu ni kupoteza muda. Maana ni kutaka kujenga taswira isiyofaa kuwa mauaji, ukatili na uvunjifu wa sheria ni jambo la kawaida.
Tukubali kuwa kuna makosa makubwa yalifanywa na vyombo vya...
Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu.
Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.
Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
Israel haina mamlaka juu ya Gaza wala Jerusalem wala West bank. Israel ilivamia tu maeneo hayo ya Palestine toka miaka ya 1960s.
Palestine ilikuwepo na kihistoria ilitawaliwa na Uingereza. Je, Taifa la Israel lilitawaliwa na nani?
Maana ijulikanavyo kuna jamii ya wana wa israel ila hakuna na...
Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani.
Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
Kama mwenyekiti wa Chama cha Wanaume Wa Shoka Tanzania nasikitishwa sana na hali ya hivi sasa ya baadhi ya wanaojiita wanaume, unakuta mwanaume kabisa kafungulia radio na anacheza kabisa kwa kujitikisa anaimba "Sukari nampatia tena"....tena akiwa anasema hivyo nakuambia analegeza macho na...
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, inatamka wazi mamlaka ya kutawala hili taifa yapo mikononi mwa Watanzania.
Wao ndio wanachagua viongozi ambao lazima watawale na kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Sasa hivi Tanzania hatushuhudii utawala unaofuata katiba, na katiba inavunjwa...
Mambo vp JamiiForums?
Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama.
Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya.
Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha...
Lazima mfumo wa uchaguzi wa Rais kizamani ambao hauendani na misingi ya kidemokrasia usiwepo tena hapa Tanzania.
Kama kuna mgombea Urais ambaye hajaridhika na matokeo basi kuwepo na utaratibu wa kupinga hayo matokeo mahakamani. Ili kuhoji uhalali wa aliyeshinda.
Kuishi na taifa amabalo baada...
Habari wana JF,
Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?
Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri yakaandaliwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na uzuri zaidi mkewe mama Maria bado yupo anaweza akachangia mengi.
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8...
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.
Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi.
Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.