Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,440
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.

Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.

Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.

Ramadhan Kareem!
 
Hebu tupige hesabu kidogo Trilion 71 = 71,000,000,000,000/=

Haya Lets say watanzania wote tupo 60,000,000. Gawanya hapo tupate jibu kila mtu ajue deni lake.

71,000,000,000,000
----------------------------- = 1,180,000.
60,000,000

OK!! Kila Mtanzania kuanzia wazee, watoto na vijana kila mmoja anadaiwa Tshs 1,180,000. Kila mtu afe na deni lake mi nataka kwenda kulilipa sitaki madeni.
 
Hebu lingajisha na wakati JK au mkapa tulikua tunaida wastan wa kiasi gani per capital.
 
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia tsh 71 trillion.

Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.

Ngoja niitafute hiyo ripoti nijiridhishe.

Ramadhan Kareem!
Kwa mwendo huu beberu lazima ampande mbuzi hakuna namna
 
Back
Top Bottom