taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuinua uchumi wa taifa na kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa kuwekeza katika maeneo ya Teknolojia, Viwanda na Kilimo

    Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake. Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza Elimu ya msingi na sekondari na kuelekea kuwa na wahitimu wengi wanamaliza na taifa kushindwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Mipango Miji wana kazi gani?

    Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

    Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Jeshi la uchumi wa Taifa(JUT) na ufumbuzi wa maendeleo wa Taifa

    Maendeleo ya taifa la Tanzania unategemea rasilimali pamoja na namna rasilimali zitakavyo simamiwa.Miaka ya hivi karibuni idadi kubwa ya vijana wanehitimu na wanaendelea kuhitimu katika shule za msingi na sekondari,vyuo na vyuo vikuu ndani na nje ya nchi. Ni jambo la kujivunia kutokomeza adui...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Tumejipanga kiasi gani na mdororo wa uchumi unaofuata ulimwenguni

    Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata unapokunywa kikombe cha chai asubuhi. Chanzo chake Kwa kawaida uchumi unakua na mzunguko, ambao tunasema...
  8. JamiiForums Tanzania Siku walimu watakapogundua kuwa wanafunzi ni wateja wao ufaulu utaongezeka na watoto makini watazalishwa. Taifa litasonga

    Habari! Kuna kitu hakiko sawa kwa watumishi wa umma karibu kada zote. Wanahudumia watu ili liende tu wakijua mshahara na posho viko palepale. Leo ngoja niwazungumzie walimu. Mwanafunzi ni mteja wa mwalimu hivyo inapaswa amhudumie kama vile costomer care wa mitandao ya simu wanavyohudumia...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabaniwa kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Kocha Paulsen ang'aka

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na kitendo cha timu ya Taifa ambayo inajiandaa na mechi ya CHAN kunyimwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili...
  10. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa: Nchi yetu imepata fursa nyingine ya matumizi mabaya ya rasilimali

    Na Ndesumbuka Merinyo Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa. Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  12. JamiiForums Tanzania Mchengerwa ateua Kamati Maalum ya kuratibu Vazi la Taifa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ateua kamati maalum kwa ajili ya kuratibu upatikanaji wa vazi la taifa. Zaidi soma:
  13. JamiiForums Tanzania Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

    Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni. Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz. Naona kama Mh...
  17. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

    Nasikia ni mchezaji wa timu ya taifa. Nimefuatilia mechi za kufuzu world cup sijamuona. Hata zile game mbili za play off ghana vs nigeria hakwepo kwenye line up. Je, ni wale wachezaji wanaoitwa timu ya taifa inapocheza CHAN? Au Je ni wale ambao kambi inapoanza wanaitwa 40 kisha kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

    Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha. Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu. 👇Huu ni ulaghai usiofaa.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena atembelea Mradi Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022. Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je, kila redio inaruhusiwa kupiga Wimbo wa Taifa?

    Tulipokua shule tulifundishwa kwamba wimbo wa taifa unapigwa tu pale kuna tukio maalumu. Sasa kuna kituo cha radio kila siku asubuhi kinapiga. Je, ni kila radio inaruhusiwa kufanya hivo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…