Mtanzania aliyebahatika kuiona bajeti ya TARURA 2021/2022 kwa kila halmshauri nchini tafadhali?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
4,248
2,000
Hali ya Barbara za Halmashauri za wilaya maeneoya vijijini NCHINI ni mbaya. Kuna uwezekano TARURA haijapewa fedha kuanzia July 2020 Kwa ajili ya bajeti ya 2021/2022. Au serikali inasubiri Nini kutatua changamoto ya Barabara za vijijini? CCM imenyamaza kimya ilihali waliomba kura na kupewa kura za wizi nchi nzima.

TARURA,​

TARURA?​

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,737
2,000
Hiyo taasisi heri ifutwe tu kila halmashauri ya kijiji iwe inaingiziwa pesa kutoka hazina moja kwa moja kutengeneza barabara zao
 
tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,887
2,000
Hiyo taasisi heri ifutwe tu kila halmashauri ya kijiji iwe inaingiziwa pesa kutoka hazina moja kwa moja kutengeneza barabara zao
Umeongea pointi nzito sana, hii taasisi ya KITAPELI tu haina maana, serikali itume fedha moja kwa moja kwenye vijiji na vitongoji km inavyofanya kwenye shule za msingi na sekondari, wanavijiji waunde kamati tendaji zishughukike na barabara zao
 
option

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
1,842
2,000
wanakamata malori kwa wrong parking wakiwa wanavizia kwene vibajaji
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,737
2,000
Umeongea pointi nzito sana, hii taasisi ya KITAPELI tu haina maana, serikali itume fedha moja kwa moja kwenye vijiji na vitongoji km inavyofanya kwenye shule za msingi na sekondari, wanavijiji waunde kamati tendaji zishughukike na barabara zao
Wakifanya hivyo hakuna barabara ya mtaa wala kijiji itakayokuwa mbovu tena.

Kikubwa waimarishe mabaraza ya madiwani kwenye usimamizi pamoja na wakaguzi wa ndani wa wilaya.

Changamoto ni kwamba fedha zitachelewa kufika au zitafika kwa kuchelewa sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom