Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga.
Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri huwa wanatishia na Kusema Kanishitaki Popote Siwezi Kukulipa Mshahara wako adi nipende Mimi...