taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Bila kuzuia kivitendo matumizi ya mkaa kwa taasisi mazingira yataendelea kuharibika

    Ipo haja kutekeleza kivitendo makatazo ya taasisi mbalimbali nchini Tanzania kutumia nishati ya mkaa na kuni kulisha watu wao Taasisi kama vile Vyuo Vikuu Magereza Mashule Viwanda vya chai na tumbaku Nakadhalika Hawa wote wapigwe marufuku kutumia mkaa na usimamizi wa NEMC uwe wa kivitendo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PPAA yajipanga kuwanoa Wazabuni, Taasisi Nunuzi juu ya mfumo mpya wa kuwasilisha Rufaa Kieletroniki

    Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na Rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) kwa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu haamini katika taasisi, hata CHADEMA haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake

    Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinara Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amepokea Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika iliyokwenda Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Mei 8, Abu Dhabi. Akizungumza na Vyombo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa Udhibiti wa Mifumo ya TEHAMA ya Taasisi, Mashirika ya Umma

    UTANGULIZI: Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
  7. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  8. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maeneo matano ya kimkakati ambayo serikali inaweza kuyawekea mkazo kudhibiti ubadhirifu wa fedha za umma na rushwa

    1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation) Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

    Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu. Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud atembelea Taasisi ya JKCI, apongeza utendaji

    Rais wa Jamhuri ya Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo. Rais Hassan Sheikh Mohamud alizitoa pongezi hizo Aprili 27, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea...
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanatenguliwa Wakurugenzi wa Halmashauri pekee na Si wa taasisi?

    Serikali ya CCM Kila siku inatumbua wakurugenzi wa Halmashauri, ambapo naona ni uonevu kwa kiasi Fulani. Serikali aigusi wakurugenzi wa taasisi za serikali, ambao ni wakurugenzi wa vitengo mbalimbali, ambao wengi hawana utendaji mzuri hata kidogo, na Wana mishahara mikubwa, mara nne ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wizi

  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa. Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika? Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote za Serikali zijitoe katika mtandao wa Twitter X

    Hili wazo limenijia kitambo ila nilikuwa bado sijapata msukumo wa kuliwasilisha. Kuna kipindi mtandao wa Twitter ulikuwa ni uwanja unaoheshimika, ukijaa malumbano ya kisiasa na kijamii na kuna kundi fulani la raia ilikuwa imejikita kule katika kukosoa na "kuirekebisha" serikali. Ikafika wakati...
  17. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM yachangia wheel chairs tano kuunga mkono taasisi ya Mama Ongea na Mwanao

    ✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO 🗓️07 Aprili, 2024 📌Karimjee, Dar es Salaam. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia Wheel Chair tano kuunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Mama ongea na Mwanao ya kuwasaidia...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  20. Kibiriti ngoma

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
Back
Top Bottom