gaintoo broisser
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 307
- 378
Samahani Sana Wanajamii Kwa Swali hili nahitaji Kujua na Aulizaye si Mjinga.
Mimi ni MWAJILIWA katika Kampuni X ,Boss wa Kampuni hii ninayofanyia kazi ni Miezi 4 Hajalipa Mshahara , WENGI Waajiri huwa wanatishia na Kusema Kanishitaki Popote Siwezi Kukulipa Mshahara wako adi nipende Mimi, Kampuni X Hadi Nssf wanadai wanachama wao hawalipwi au Hawawekewi Mafao Yao.
NAJUA hii wengi wanapitia na wengine washapotezea Haki zao au Mishahara Yao,Kwa anayejua Kitengo Kinachotetea Haki za Mwajiriwa Atwambie.