taasisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  3. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dodoma: TRA yatoa elimu ya Kodi ya zuio Kwa taasisi za Umma

    Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma

    Habarini wakuu, Naomba kufahamu kuhusu madaraka ya wenyeviti wa bodi kwenye mashirika/taasisi za umma hasa kwenye ajira. Je, mwenyekiti wa bodi anayo mamlaka ya kuajiri au kufanya recommendation ili mtu aajiriwe kwenye taasisi yake bila tangazo la ajira? Kuna ubishani tu kijiweni kwetu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: ameelekeza Mashirika kutimiza wajibu wao ili kuongeza wawekezaji wengi Nchini

    https://www.youtube.com/live/SlT8QJSt7_o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ufunguzi wa kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo tarehe 28 Agosti, 2024. Rais Samia...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Kusiluka: Wizara na Taasisi za Umma wekeni program za mazoezi ya watumishi

    Dodoma Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeshiriki uzinduzi wa michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) ambapo taasisi hizo zimehimizwa kuandaa programu za mazoezi na michezo kuanzia sasa. Ili kufanikisha azma hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi...
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania “Njoo Kesho” kwenye Taasisi za umma ni Kidonda Ndugu

    Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja. Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo. Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa mtu anatoka zake madongo kuinama anatumia nauli kubwa anafika hapo ili ahudumiwe lakini cha achabu...
  9. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Kimataifa ya Biashara: Taasisi za Umma Dhidi ya Maboresho

    Napongeza kwa jitihada zinazofanyika ktk kuandaa maonyesho ya kimataifa ya biashara na kuazimishwa kila mwaka. Kwa kuwa ni maonyesho makubwa ya kibiashara na yamekuwa yakihusisha makampuni na taasisi za kibiashara toka ktk mataifa mbalimbali nina dhani kuna haja ya kutathmini athari zake Chanya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la kesho (Juni 11, 2024)

    https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024. MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea Gawio na Michango kutoka Mashirika na Taasisi za Umma, Matukio kurushwa live kupitia vyombo vyote vya habari

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
  12. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka mitano ijayo nakuendelea Taasisi za umma ziboreshe vitengo vya huduma kwa wateja

    Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  15. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Taasisi za umma ziache kukopesha watumishi wake, ziwadhamini wakakope benki

    Kuna mtindo mchafu umeingia kwenye taasisi nyingi za umma wa kuwakopesha pesa watumishi wake kwa kutumia pesa za ndani za uendeshaji wa mashirika hayo kiasi ambacho kimepelekea kukwamisha ufanisi wa uendeshaji wake. Mfano halisi ni mfuko wa Bima ya afya ya taifa (NHIF). Upo ushahidi wa wazi kuwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

    Wakati serikali ikiendelea na zoezi la kuunganisha na kufuta baadhi ya Taasisi na Mashirika ya Umma, nashauri tutoe maoni na mapendekezo juu ya mashirika na taasisi zinazostahiili kuunganishwa pamoja na zile zinazostahili kufutwa. Nia na madhumuni ni kuishauri serikali ili isije kufanya makosa...
  18. Brightly

    JamiiForums Tanzania Serikali kuruhusu Taasisi za Umma kuajiri zenyewe badala ya Sekretariat ya Ajira (Utumishi) ni kujijengea chuki dhidi ya wasiokuwa na ajira

    Habarii wanajf, hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya taasisi za umma zikianza kuajiri zenyewe badala ya utumishi ikiwa ni miezii kadhaa tangia Rais wetu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan alipozipa taasisi za umma mamlaka ya kujiendesha zenyewe kwa asilimia 100 ikiwa ni...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene asisitiza matumizi ya Serikali Mtandao kwa Taasisi za Umma ili kuepusha malalamiko ya Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesisitiza matumizi ya Serikali Mtandao katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma ambavyo vinaleta malalamiko Serikalini. Mhe. Simbachawene amesema hayo leo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Apokea Muongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathimini katika Taasisi za Umma

    WAZIRI MHAGAMA APOKEA MWONGOZO WA KITAIFA WA UFUATILIAJI NA TATHMINI KATIKA TAASISI ZA UMMA. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu nayeshugulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, Amepokea Rasimu ya kwanza ya Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Utendaji wa Shughuli za...
Back
Top Bottom