taasisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna taasisi za umma Goigoi au tunawasimamizi wa taasisi za umma Goigoi?

    Nimeona viongozi wa kisiasa wakizilalamikia taasisi za umma Goigoi kwamba zinakwamisha ukuaji wa uchumi kati ya asilimia 1 hadi 5 kwa mwaka. Lakini ninavyojua mimi hakuna taasisi Goigoi ila kuna wanadamu waliopewa dhamana za umma ambao watumishi hao ni Goigoi 1. Ufanisi wa hizi taasisi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO ni miongoni mwa taasisi za umma zenye wafanyakazi wasio na ufanisi

    Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi. Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza matumizi ya Tehama taasisi za umma

    Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), imetoa wito kwa taasisi za umma nchini kujiunga na mfumo wa ubadilishanaji wa taarifa serikalini (GovESB) ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi. Wito huo umetolewa jana Jumamosi Agosti 6, 2023 na Meneja Mawasiliano wa e-Ga, Subiria Kaswaga wakati...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za mawasiliano kwenye tovuti za taasisi za umma ziboreshwe

    Edogun Mzalendo ni kijana wa miaka ishirini na minne, muhitimu wa stashahada ya sayansi ya kompyuta na mmiliki wa steshenari ndogo inayopatikana mjini Kahama. Ni miaka miwili tu imepita toka afungue steshenari yake hiyo lakini amejizolea umaarufu mkubwa sana kutokana na kipaji chake cha...
  5. abdulatif

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi Taasisi za Umma na Mashirika ya Serikali

    Uwazi unamaanisha uaminifu, maadili na uwajibikaji ambao serikali na mashirika ya umma wanapaswa kuwa nao ili kuwafanya raia kujua taratibu na shughuli ambazo uwekezaji wa kiuchumi unafanyika. uwazi na upatikanaji wa habari kwa umma Inahusisha kufanya maamuzi ya serikali mfano teuzi, sera na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafanyabiashara wanakerwa usumbufu wa taasisi za umma. Kisa kodi na tozo

    WAFANYABIASHARA WANAKERWA USUMBUFU WA TAASISI ZA UMMA. KISA KODI NA TOZO. Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza wafanyabiashara wa Kariakoo, Mwezi Mei 2023 Mkoani dar es salaam, Kulikuwa na Malalamiko Mengi kuhusu Utozaji, Ukusanyaji na Aina za Kodi, tozo au Ushuru. Katika Maelezo...
  7. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bayogesi Itumike katika Taasisi za Umma, kupunguza hewa ya ukaa

    ConstantineJ. Samali Mauki Utangulizi Bayogesi ni nini? Kwa mujibu wa Lucía Fernández wa Statistica (Feb 8, 2023), Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi ya methane na hewa ya ukaa (kabonidayoksaidi) inayozalishwa na viasilia mbalimbali kama mabaki ya mimea na ya Chakula katika mazingira ya ukosefu...
  8. GentleGiant

    JamiiForums Tanzania PSSSF moja ya taasisi za Umma zenye Customers care bora kabisa nchini

    Wakati nafikiria kuanza michakato ya kufuatilia michango yangu kwa hawa jamaa nilikuwa nafikiria sana kwa kuwa taasisi nyingi za umma zinasifika kwa kuwa na customer care mbaya sana kwa wateja. Lakini nimefuatilia,nimeingia ofisi tofauti tofauti na itoshe tu kusema jamaa ni wakarimu na...
  9. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maajabu Jimbo la Igalula kata ya Loya, Taasisi za umma na Serikali kutounganishwa kwa umeme

    Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme! Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri magari yote ya Serikali na Taasisi za Umma yapakwe rangi za nembo zao kupunguza ukiritimba

    Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa; Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa! Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
  12. DustBin

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tafadhali tafadhali, mchakato wa ajira serikalini usirejeshwe kwenye Taasisi za Umma

    Nawasalimu kwa jina JMT Moja kwa moja najikita kwenye mada. Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani kinyume na Sekretarieti ya ajira PSRS inayosimamia suala hilo kwa sasa. Naishauri serikali isisikilize...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Aina nne za Hati za Ukaguzi zinazotolewa na CAG

    Baada ya kukamilisha ukaguzi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali hutoa Hati ya Ukaguzi kwa kila taasisi ya umma aliyoikagua. Hati ya Ukaguzi ni maoni ya Mkaguzi yatokanayo na ukaguzi alioufanya kwenye hesabu za taasisi au mamlaka yoyote ya umma. Hati ya Ukaguzi hutolewa na Mdhibiti...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wakumbuke watumishi wa umma katika teuzi za Ma-DED, Ma-DAS na wakuu wa Taasisi za Umma

    MHESHIMIWA RAIS SASA NI MUDA WA KUWAKUMBUKA WATUMISHI WA UMMA KATIKA TEUZI ZA MA-DED, MA-DAS na Wakuu wa Taasisi za Umma 1. Tunatambua nguzo kuu mbili katika utendaji wa serikali. Ya kwanza ni ile ya watendaji katika shughuli za kisiasa ikiwemo Mawaziri, Manaibu Waziri, ma-RC, na ma-DC. Ya...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Namnukuu Mbowe ''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
  16. Usinifokee

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa taasisi za umma kuwa na mawasiliano

    Habari za asubuhi wakuu, Nimekutana na hichi kituko mara nyingi na nimejaribu kukivumilia kimenishinda inabidi nitoe duku duku langu. Taasisi za umma ni kwaajili ya wananchi, na taasisi hizi zimekuwa na namba ambazo zinawekwa kupitia wavuti zao, au katika majarida mbali mbali lengo likiwa...
Back
Top Bottom